Ven26
JF-Expert Member
- Jan 28, 2014
- 1,003
- 2,133
Sala ya rozari ya huruma ya MunguNi Wimbo wa Roman Catholic unaanza na mtu anaongea maneno harafu wanaanza kuimba wimbo unaitwa Kwa ajili ya mateso makali ya Yesu utuhurumie sisi na Dunia nzima
Ntaweza kuupakua wapi!? msaada tafadhali