Huu uvaaji mwingine ni biashara mchana kweupe

Huu uvaaji mwingine ni biashara mchana kweupe

PAPAA JIWE

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
866
Reaction score
151
Habari wakuu,

Inasikitisha kuona mwanadada amevaa kasuruali kama neti, mwili wote unaonekana halafu anakatisha mtaani, anataka nani aone sasa kama sio matangazo ya biashara yasiyolipiwa kodi?

Unakuta mwingine kajeans hakafiki hata kiunoni, makalio nusu yanapunga upepo, mwingine ana michirizi na makovu, hii ni kwa faida ya nani?

Mwingine manyonyesheo yako sabasaba kabisa kila mtu aone, huu ni ujuha wakuu, biashara hii ipigwe marufuku au itozwe kodi sasa.
 
Habari
wakuu,
Inasikitisha kuona mwanadada amevaa kasuruali kama neti, mwili wote
unaonekana halafu anakatisha mtaani, anataka nani aone sasa kama sio
matangazo ya biashara yasiyolipiwa kodi?

Unakuta mwingine kajeans hakafiki hata kiunoni, makalio nusu yanapunga
upepo, mwingine ana michirizi na makovu, hii ni kwa faida ya nani?

Mwingine manyonyesheo yako sabasaba kabisa kila mtu aone, huu ni ujuha wakuu, biashara hii ipigwe marufuku au itozwe kodi sasa.

ImageUploadedByJamiiForums1405332319.857353.jpg watakula wapi kama pododo haitobanwa kwa staili hii?Hawa watatumaliza wengi wamekuwa mafundi waliobobea kwenye mitego!
 
Mnataka kutuonesha ili iweje sasa?
Wengine hatutaki kuona sasa. Au miili yenu ni mali ya umma?


Tukivaa hijab masimango, tukionyesha tunayoyafichaga pia shida...
Wanaume hamridhiki....
 
Biashara matangazo?
Halafu mnavaa viatu ambavyo vinawashinda kutembelea, mkitembea utadhani mna majipu kwenye visigino.

Mkitaka kukaa sasa ndio shida, maana vinguo haviruhusu kukaa, hadi muanze kusumbuka na vitenge na kanga, loh!
Vyote kila moja kwa wakati wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom