Nafikiri huu uatakuwa usafiri wa kwenye inyonga karibu na mbuga ya wanyama ya Katavi mkoani Rukwa!maana huko kuna shida kubwa usafiri,wenyeji wa maeneo hayo hutumia wanyama na ungo kama njia kuu za usafiri!ungo ni maarufu zaidi!!!
Huku lami bado ndugu yangu!! Kuhusu ungo na wanyama............:nono::nono::nono:Nafikiri huu uatakuwa usafiri wa kwenye inyonga karibu na mbuga ya wanyama ya Katavi mkoani Rukwa!maana huko kuna shida kubwa usafiri,wenyeji wa maeneo hayo hutumia wanyama na ungo kama njia kuu za usafiri!ungo ni maarufu zaidi!!!