Mwaka 2024 sitaki kupanda daladala wala mwendokasi, ni umasikini

Elvis Legacy

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
3,396
4,735
Kheri ya kuelekea mwisho wa mwaka.

Binafsi nimechoka usafiri wa umma. Mambo ya kuswekwa kwenye usafiri kama vifaranga vya kuku kwenye tenga sitokubali ikifika 2024.

Usafiri huu ni kwa ajili ya masikini tu. Umasikini ni laana. Yaani asubuhi harufu za manukato ya bei chee zinatawala ila jioni na usiku ni mwendo wa kupakana jasho.

Nimeamua ni bora nifanye kazi zangu online kwa VPN au any Desk. Ikishindikana nitakodi hata bajaji kwenda kwenye mishemishe zangu mjini.

Nimeukataa umasikini rasmi. Poleni sana ndugu zangu mtakaoendelea na huo usafiri. Nikirudi huko mjue nimefulia na sina namna.

Asalaam
 
Nunua gari mkuu. Na kwani i utumia vpn au any desk kufanya kazi online?
 
Mfumo wa Usajili wa vizazi na vifo kwa njia ya mtandao (Erita) unasumbua sana karibu wiki mbili wamekuwa hawafanyii kazi taarifa zinazotumwa.

ukizingatia shule zinakaribia kufungukiwa na usajili wa watoto shuleni unakarbia kufungwa lakini RITA wamekuwa wazito kushughurikia vyeti naomba wenye mamlaka wafanye haraka ili watoto waweze kusajiliwa mapema shuleni
 
Sina uhakika ila maelezo yako yaashiria kuwa umekurupuka labda kwa kupata vijisenti kidogo tu ambavyo kiuhalisia haviwezi kukuvusha ulipo kwa maamuzi hayo.

Kama huna kipato cha kutosha endelea kujibana kwa kutumia daladala huku ukijiwekea malengo ya kupata usafiri wako. (Baskeli, pikipiki, gari n.k)

Binafsi nilijibana sana nikanunua pikipiki na sio kwamba nilikuwa sitaki kupanda daladala, ila nilikuwa natumia muda mwingi njiani na gharama kubwa Kwasababu nikishuka daladala napanda tena pikipiki kufika nakoelekea. Hapa yalifanyika mahesabu ili kufanya maamuzi

Sisi tusio na kipato kikubwa unapobadili mfumo wa maisha unapaswa kuwa makini sana ili mfumo mpya usikuelemee kwa gharama kubwa zaidi ambazo zinaweza kudumaza uchumi wako.

Umasikini hauepukwi kwa kuununia
 
Kheri ya kuelekea mwisho wa mwaka.

Binafsi nimechoka usafiri wa umma. Mambo ya kuswekwa kwenye usafiri kama vifaranga vya kuku kwenye tenga sitokubali ikifika 2024.

Usafiri huu ni kwa ajili ya masikini tu. Umasikini ni laana. Yaani asubuhi harufu za manukato ya bei chee zinatawala ila jioni na usiku ni mwendo wa kupakana jasho.

Nimeamua ni bora nifanye kazi zangu online kwa VPN au any Desk. Ikishindikana nitakodi hata bajaji kwenda kwenye mishemishe zangu mjini.

Nimeukataa umasikini rasmi. Poleni sana ndugu zangu mtakaoendelea na huo usafiri. Nikirudi huko mjue nimefulia na sina namna.

Asalaam
Mungu akufanikishe nakuombea
 
kumiliki usafiri haimaanishi ndo umetoka kwa umasikini.
maana unaweza ukawa umelenga kutumia usafiri wa ofisi
umelenga kutumia usafiri wa rafik au jiran yako
umelenga kutembea kwa miguu kuelekea ofisin na kwenye mishe nyingne.
ama
unanunua piki piki
au umepanga kununua baiskeli

so umasikin hata fikra unaweza kuwa na fikra za kimasikini.

kila la heri mkuu
 
Huna usafiri binafsi na unaishi dsm na viunga vyake,ngoja tuone kama hata mwezi utatoboa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom