Huu usafiri sijui wa kwenda wapi!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,700
Sehemu zile kuliko na shida ya usafiri, usafiri huu unafaa sana
toyota.jpg
 
Safari ya kufikia maendeleo bado ndefu sana..kama karne ya 10
 
Safi sana, hayo ndo maendeleo yaliyoahidiwa
kila mtu anamiliki gari (hata mkokoteni wa ng'ombe ni gari pia/ kwani we unao???)
 
Nafikiri huu uatakuwa usafiri wa kwenye inyonga karibu na mbuga ya wanyama ya Katavi mkoani Rukwa!maana huko kuna shida kubwa usafiri,wenyeji wa maeneo hayo hutumia wanyama na ungo kama njia kuu za usafiri!ungo ni maarufu zaidi!!!
 
Inyonga lami bado haijafika hapa naona itakuwa songea kwa watani zangu.
 
Nafikiri huu uatakuwa usafiri wa kwenye inyonga karibu na mbuga ya wanyama ya Katavi mkoani Rukwa!maana huko kuna shida kubwa usafiri,wenyeji wa maeneo hayo hutumia wanyama na ungo kama njia kuu za usafiri!ungo ni maarufu zaidi!!!
Huku lami bado ndugu yangu!! Kuhusu ungo na wanyama............:nono::nono::nono:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom