Nimeenda Chanika. Ni mbali sana, mnaokaa huko mpewe maua yenu

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Nilitoka Makumbusho mpaka Gongolamboto hadi Chanika

Ni safari ndefu sana ni kama mtu kasafiri mkoa kwenda mkoa mwingine

Jamani Chanika ni mbali tena mbali sana, wanaokaa huko na wanafanya kazi jijini wapewe kongole zao.

Kingine nilichoona ni usafiri wa shida Chanika usafiri ni shida tupu labda uwe na gari yako mwenyewe, daladala zinajaa mpaka watu wanashindwa kupumua vizuri.

Ila Chanika ni mbali sana
 
Niritoka Makumbusho mpaka Gongolamboto hadi Chanika

Ni safari ndefu sana ni kama mtu kasafiri mkoa kwenda mkoa mwingine

Jamani chanika ni mbali tena mbali sana wanaokaa huko na wanafanya kazi jijini wapewe kongore zao

Kingine nilichoona ni usafili wa shida Chanika usafir ni shida tupu ramda uwe na gari yako mwenyewe daladala zinajaa mpaka watu wanashindwa kupumua vizur

Ila Chanika ni mbali sn
Bunju B kwenda Kariakoo na Chanika Kariakoo hapo vipi
 
Nilitoka Makumbusho mpaka Gongolamboto hadi Chanika

Ni safari ndefu sana ni kama mtu kasafiri mkoa kwenda mkoa mwingine

Jamani Chanika ni mbali tena mbali sana wanaokaa huko na wanafanya kazi jijini wapewe kongore zao

Kingine nilichoona ni usafili wa shida Chanika usafir ni shida tupu ramda uwe na gari yako mwenyewe daladala zinajaa mpaka watu wanashindwa kupumua vizur

Ila Chanika ni mbali sn
Ni kilomita ngapi Chanika? Ili tuweze kwenda sawa inabidi tujue umbali halisi,
 
Nilitoka Makumbusho mpaka Gongolamboto hadi Chanika

Ni safari ndefu sana ni kama mtu kasafiri mkoa kwenda mkoa mwingine

Jamani Chanika ni mbali tena mbali sana wanaokaa huko na wanafanya kazi jijini wapewe kongore zao

Kingine nilichoona ni usafili wa shida Chanika usafir ni shida tupu ramda uwe na gari yako mwenyewe daladala zinajaa mpaka watu wanashindwa kupumua vizur

Ila Chanika ni mbali sn
Ni kweli kabisa. Nimefika Chanika mara 1, nilitoka Mbezi beach saa 7 mchana nikafika Chanika Zingiziwa saa 10.
 
Back
Top Bottom