Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,371
- 64,579
- Thread starter
- #81
Elimu yako ilipotosha wanafunzi ๐๐๐๐๐ Ndo ukome siku nyingine usirudie
Elimu yako ilipotosha wanafunzi ๐๐๐๐๐ Ndo ukome siku nyingine usirudie
Au basi...Komando kipensi akeee bila shaka ushakutana na wavaa shanga !
Tunaomba muongozo pulllllllliiiiiiiiizzzz!!๐
Inabidi watueleze zinasaidia nini?Zinaitwa chachandu
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ HatareeeeeHatakii hata kuzisikia aliikata moja na kunipa onyo juu .
Weee kumbe ๐คญ!Photo za shanga ni kama vile una post matusi...
Tatizo wanafunzi ada yenu ilikuwa ndogo sasa mi ningefanyaje.?? ๐๐๐๐Elimu yako ilipotosha wanafunzi ๐
Ewaaaaaahh!! ๐๐๐Zinaitwa chachandu
Niliambiwa najifunza ushirikina eti๐คจ๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Hatareeeee
Km namuona alivyoikata, mdogo wangu alikuwa na mwanaume wake mjeda alivaa chain yake ya gold, mjeda akaikata akampa na kofi la kiuno ๐๐๐๐
Haya mambo muangalie na mnaowavalia
๐คฃ๐คฃ๐คฃmambo?Acha ukorofi
Usiku mwema mkuuKwa uzoefu wako huwa zinasaidia nini?
Kuna wanaume wana gubu tyuu!!Niliambiwa najifunza ushirikina ๐คจ๐๐
Huyo kiboko ๐๐๐๐๐Kuna wanaume wana gubu tyuu!!
Mdogo wangu alikuwa akimkatia kiuno mjeda anamwambia tulia mbona huna utulivu, unanipotezea mwelekeo wa kupump ๐๐๐
Nikamwambia ulikutana nacho