min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,706
- 175,726
Alafu wewe mkorifi sana unaweza kukuta ni mama mchungaji tu[emoji16].Oyoooooo!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu wewe mkorifi sana unaweza kukuta ni mama mchungaji tu[emoji16].Oyoooooo!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa kagoma kabisa kukubali huo udambu dambu eti anasema siku akiniona navaa tena ataamini nimeaza kuwa mshirikina😁😁😁Za kwako umezipeleka wapi? 😀
Huwa naziona tu zikining'inia kwenye viuno vyaoEquation.
Kama wewe ni mwanaume unalizia shanga za mwanamke za nini? Hili swali waulizane wanawake...
Ila kama wewe ni mwanamke basi ya kupasa kujaribu kuvaa uone kama ina swiii au laah.
Asante.
Hv we unajua hata maana ya utafiti? Ulitumia njia (methodology) gani. Eti 8 kati ya 10. We bwege kwlKwa utafiti niliofanya, kati ya wanawake 10, lazima 8 wawe wamevaa shanga kiunoni.
Sasa hivi umekuwa ni mtindo wa kisasa, kwa mwanamke wa kileo kuvaa hizo shanga au cheni kiunoni.
Imekuwa ni kitu muhimu kwa warembo, na kupelekea bila kuvaa hizo wanakuwa hawana ujasiri.
Sasa nawauliza, hizo shanga zinawasaidia nini?
Eeeeeh, hatari tupuWalioshindikana
Unakapiga kamoja, ka rangi ya golidi 😀Jamaa kagoma kabisa kukubali huo udambu dambu eti anasema siku akiniona navaa tena ataamini nimeaza kuwa mshirikina😁😁😁
Umeshakutana na wangapi mpaka sasa hivi? 😀Hv we unajua hata maana ya utafiti? Ulitumia njia (methodology) gani. Eti 8 kati ya 10. We bwege kwl
Hatakii hata kuzisikia aliikata moja na kunipa onyo juu .Unakapiga kamoja, ka rangi ya golidi 😀
😂😂😂😂 Mi sio msungo siwezi kutoa siri za mkoleMama wa kuvidumbukiza, tupatie somo 😀
Huyo atakuwa ni wale wa zama za mawe za kati kama sio za kale 😀Hatakii hata kuzisikia aliikata moja na kunipa onyo juu .
Acha ukorofiKwanini msiulizane hapo hapo na huyo mwenzio?
Wao wanasema ni urembo tuYan mwanamke anaevaa shanga kiunon lile li kipini la puani na yale ya miguuni
Me namuona malaya tu
Anajikuta mzungu eti 😁😁Huyo atakuwa ni wale wa zama za mawe za kati kama sio za kale 😀
Hamna wala sio dhambi wewe vaa TUkwan ni dhambi?😂😂
Kidogo ningemdumbukizia mmoja, alinizaba kofi 😀😂😂😂😂 Mi sio msungo siwezi kutoa siri za mkole
Mtazamo wako tuYan mwanamke anaevaa shanga kiunon lile li kipini la puani na yale ya miguuni
Me namuona malaya tu
Kwa hiyo ata mbwa hapigi 😀Anajikuta mzungu eti 😁😁
😂😂😂😂 AiiimeeennnnnAlafu wewe mkorifi sana unaweza kukuta ni mama mchungaji tu[emoji16].
😂😂😂😂 Ndo ukome siku nyingine usirudieKidogo ningemdumbukizia mmoja, alinizaba kofi 😀