Huu urembo wa shanga unawasaidia nini?

Huu urembo wa shanga unawasaidia nini?

Smart911 shanga ndo vitu gani ??? Wanijua nilivo kilaza
Hauna kafoto hapo??🤔
IMG-20240212-WA0010.jpg
 
Enzi za ujana nilikamata shangazi moja nikalipeleka home katika moja na mbili shanga zikakatika vipunje vilisambaa nyumba nzima ilikuwa patashika na mama asubuhi
 
Kwa utafiti niliofanya, kati ya wanawake 10, lazima 8 wawe wamevaa shanga kiunoni.

Sasa hivi umekuwa ni mtindo wa kisasa, kwa mwanamke wa kileo kuvaa hizo shanga au cheni kiunoni.

Imekuwa ni kitu muhimu kwa warembo, na kupelekea bila kuvaa hizo wanakuwa hawana ujasiri.

Sasa nawauliza, hizo shanga zinawasaidia nini?​
Dogo ule sio urembo.
Kua kwanza utakuja kuambiwa kazi yake.
 
Back
Top Bottom