Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 7,696
- 15,984
Kichwa kinakamatwa kisha kinapitishwa pitishwa kwenye izo mambo, ni balaa kubwa.
Suluhisho ni kunyoaHalafu inashika ukiwa mbele za watu basi unazuga kichomi....kumbe vzzz limekamatwa
Utamu unasababishwa vipi na hizo shanga?Mademu wanaovaa shanga ni watamu hakuna mfano 😋😋
Hapo umesema anaejua kuzitumia, sasa fungua box sema anaejua anazitumiaje? Ili wengine wakuelewe mwendo wa farasi shikilia bombaraha ya shanga avaliwe anaejua kuzitumia bhana 👌
Haziwezi kukata kichwa kweli?Kichwa kinakamatwa kisha kinapitishwa pitishwa kwenye izo mambo, ni balaa kubwa.
Shikilia bomba mwendo wa farasi km hauelewi basi ndio hauelewi tenaUtamu unasababishwa vipi na hizo shanga?
Wengi wajanja, wanavaa moja nyembamba; ila kuna wengine wanavaa mzigo wa kutosha 😀Unakuta kiunoni chain nyembambaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
Oyoooooo!! 😂😂😂😂raha ya shanga avaliwe anaejua kuzitumia bhana 👌
Kuni kiononi? DuuuhNgoja niwa tag @wamakonde maana hawana shanga bali kuni kiunoni😁😁
Shikilia bomba mwendo wa farasi hujaelewa nini bado?Wengi wajanja, wanavaa moja nyembamba; ila kuna wengine wanavaa mzigo wa kutosha 😀
Ni mafundi hakuna mfano, sijui unaelewa?Utamu unasababishwa vipi na hizo shanga?
Za kwako umezipeleka wapi? 😀Ngoja niwa tag @wamakonde maana hawana shanga bali kuni kiunoni😁😁
Ki vipi mkuu?Kakojoe ukalale
Mama wa kuvidumbukiza, tupatie somo 😀Oyoooooo!! 😂😂😂😂
WalioshindikanaNi mafundi hakuna mfano, sijui unaelewa?
Equation.Kwa utafiti niliofanya, kati ya wanawake 10, lazima 8 wawe wamevaa shanga kiunoni.
Sasa hivi umekuwa ni mtindo wa kisasa, kwa mwanamke wa kileo kuvaa hizo shanga au cheni kiunoni.
Imekuwa ni kitu muhimu kwa warembo, na kupelekea bila kuvaa hizo wanakuwa hawana ujasiri.
Sasa nawauliza, hizo shanga zinawasaidia nini?
kwan ni dhambi?😂😂
Eti.. 🤣 😀