Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,300
- 114,602
😂 ukilenga hukosiSema daaah ikishika vzzz unaweza piga ukunga
😂 ukilenga hukosiSema daaah ikishika vzzz unaweza piga ukunga
Dah pole sana mkuuSi inakuroga unakua zezeta, nilishakutana na lidada humu linavaa hirizi inafanya kupumua.
Zogo liliishaje mkuuEnzi za ujana nilikamata shangazi moja nikalipeleka home katika moja na mbili shanga zikakatika vipunje vilisambaa nyumba nzima ilikuwa patashika na mama asubuhi
Kazi yake ni ipi?Dogo ule sio urembo.
Kua kwanza utakuja kuambiwa kazi yake.