Eiyer simba ni mkali sana akiwa porini na kwenye himaya yake na hata simba ambaye sio wa kundi lao akiingia kwenye himaya yake wanapambana nae hata kumuua
Simba jike ni mkali ila linapokuja swala la kuwa anahitaji kwenza wa kuwa nae ukali wote unawekwa pembeni na anakuwa mpole na kukukubali simba dume
Ukali wote wa kiume sometime inabidi uwe pembeni then unamkubali kiumbe wa jinsia ya kike kukuondolea upweke na usipokuwa down to earth na ukaendelea na ukali wako wa kiGadaffi mkuu upweke utakukaa sana
Mwalimu unaifahamu EOTF? Basi tulia, usicheke kwa sauti usijeachia ushuzi ukaharibu tabia nchi mchana wa jua kali.
Bazaz at work. Naona unaendeleza utaratibu wako wa kung'ang'ania vitalu.Hivi nlishawahi kukuambia kuwa nakupenda. Basi ndo hivyo.
Huhitajiki kuwa na hofu yoyte ile huduma nitakupa bila tatizo lolote lile
Ukitaka kujua uzuri wa huduma yangu muulize Heaven on Earth .....!!!!!!!!
Tena huyo snowhite akiendelea kuniletea zake namuachisha kazi yake ya ualimu wa shule yachekechea ya jimbo ....!!!
Bazaz at work. Naona unaendeleza utaratibu wako wa kung'ang'ania vitalu.
Cc Kaizer
Mhhh we hutaki vitalu
Navitaka ila vingine sio vya kung'ang'ania ujue
lol... sikujua hilo, kumbe na wewe baba paroko utaweza maombi yangu lakini? mana me napenda maombi ya wawili tu halafu iwe usiku
shabaaaash,,,,,,,Najua sana. Ndo maana kale kawimbo ka 'baishoo' sikapendi kama nisivoyapenda mavuzi.
Naona wanasuasua tu ...!!!!!!!
Mie si viparoko uchwara, mi ni mtume na nabii. Utakapokuja kwenye upako hakikisha unakuja without.
Aisee siamini kama nimekuona .....!!!!!!!
Ulijua sintorudi tena...niko hapa na tuongee fasta maana nitapotea muda si mrefu tena