Huu upweke huu

Huu upweke huu

sasa leo baba Paroko itabidi ukaimbe tu kwaya peke yako kanisani...
leo kondoo wapo busy kweli..si unajua tena maulid..

Yaani hawa watu sijui wako wapi ....!!!!!!!
 
Njoo unifanyie maombi hata mie upweke unanila.

Ngoja nikupigie unielekeze maana umehama kule nilikokuwa nakujua
Namba yako si ile ile ??

Mi naijua hii 0711 883 776
Au umeshabadili??
 
Mkuu leo DEMBA hajakuletea?
Ansemaga amekukamata siku hizi unanywea home tu ...lol!!!!!!!!

Haha mkuu Eiyer umeanza uchokozi na DEMBA baby angu, amenikamata ila sio kunizuiankupiga gambe.na washkaji bana...tena leo maulidi wacha kabisa
 
Last edited by a moderator:
Khaaaaaaa ....!!!!!!!!!!!!!
Ngoja niwachungulie .......

images

Kumbeeeeeeee .....!!!!!!!!

naenda kukusemea....
 
naona unaumia sana ndomaana nassib alisema hivi ningekuwa nauwezo angekunywa hata pombe apunguze mawazo
 
Haha mkuu Eiyer umeanza uchokozi na DEMBA baby angu, amenikamata ila sio kunizuiankupiga gambe.na washkaji bana...tena leo maulidi wacha kabisa

Mkuu leo ni mapumziko naona "watu" hawaonekani kabisa

Umemuona wapi Asprin ???

Au anapata na yeye??
 
Last edited by a moderator:
Mkuu leo ni mapumziko naona "watu" hawaonekani kabisa

Umemuona wapi Asprin ???

Au anapata na yeye??

Haaa mkuu hao "watu" unaowatafuta nipo nao.chemba....wozap
 
Last edited by a moderator:
Twen'zetu bibie

Tutakwenda wapi?
Nichagulie basi .....!!!!!!!

Sehemu itapatikana ntakapokufikia ulipo tena na hivi hutumii hayo maji ya dhahabu basi ni habari njema kwangu hutanipa shida....
 
Haaa mkuu hao "watu" unaowatafuta nipo nao.chemba....wozap

Unasemaaaaa!!!!!!!!!
Kuna mmoja ameniambia eti ka smart foni kake kamedondokea kwenye mchuzi wa li pilau la Maulid
Ngoja nikague nikimuona atanitambua!!!!!
 
Sehemu itapatikana ntakapokufikia ulipo tena na hivi hutumii hayo maji ya dhahabu basi ni habari njema kwangu hutanipa shida....

Unanitamanisha ujue ......
 
Back
Top Bottom