Latifaa
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 501
- 258
Dr. Slaa wawatu alikua mpoole hata aijulikani alipotokomea usinikumbushe mbaliAchana na Gwajima....muziki wake muulize Dr slaa ...
Huyu BASHITEEE mwenye mbinu za kipimbi za kupambana hamwezi
Dr. Slaa wawatu alikua mpoole hata aijulikani alipotokomea usinikumbushe mbaliAchana na Gwajima....muziki wake muulize Dr slaa ...
Huyu BASHITEEE mwenye mbinu za kipimbi za kupambana hamwezi
Mtumishi wa Mungu analindwa na Mungu mwenyewe na sio binadamu
Dr. Slaa huwa anajidai ana mdomo. Ila kwa King GWAJIMA ili bidi atulie na ahame nchi.Achana na Gwajima....muziki wake muulize Dr slaa ...
Huyu BASHITEEE mwenye mbinu za kipimbi za kupambana hamwezi
Shauri zako na ww endelea kumwona unavyomwonaEndelea kuota mchana...
Leo wakati akitinga clouds ameonekana akiwa na ulinzi mkali sana ambao kwa kiongozi Wa dini unatia shakaView attachment 484991
Mbona papa analindwa na Gari hadi la kkioo bullet proof hausemi, kimsingi ata wewe ukiwa una pesa tutakulinda tu ila kwa sababu njaa kali hamna namnaLeo wakati akitinga clouds ameonekana akiwa na ulinzi mkali sana ambao kwa kiongozi Wa dini unatia shakaView attachment 484991
Halafu hizo story zake naona kuna mahali kaziandika maana maana alivyozikariri hata arudie mara ngapi hakosei hata nukta!Gwajima huwa ananifurahishaga sanaa....hasa akianza kuongelea chopa yake
mkuu nimecheka mpaka ugoro umenipaliahalafu unaweza kuta hata likirushwa jiwe wote wanakimbia..
Anakua na diary pale mbele nadhaniHalafu hizo story zake naona kuna mahali kaziandika maana maana alivyozikariri hata arudie mara ngapi hakosei hata nukta!
Leo wakati akitinga clouds ameonekana akiwa na ulinzi mkali sana ambao kwa kiongozi Wa dini unatia shakaView attachment 484991
Unaweza kufafanua kwa kina hiiTundu lissu naye muhimu apate ulinzi kama huu, Obama akiwa bado mbunge wa Illinois alikuwa na ulinzi wa nguvu sababu tayari alionekana presidential material
Watu wengi hawamjui waulizeni watu wa arusha na singida wanajua kadhia yake akiwa anapita kwensa mtaani barabara zinafungwa kwa muda apite, anajiita au anaitwa His Excellency Dr. Geo Davie The Prophet Ngurumo Ya Upako.Ukiona Ulinzi wa Goe Davie utasemaje