Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

hushangai papa kutembea ndani ya gari "bomb proof"
Papa sio kiongozi Wa kidini tu ni kiongozi Wa Nchi na nikiongozi wa kanisa. Yeye nikiongozi wa nchi ya Vatican na hata anapokuja Tanzania au nchi yoyote lazima pia rais wa nchi ahusike kwenye mwaliko.
Sasa Gwajima anafanana na akina askofu Ngalalekumtwa wa jimbo katoliki la Iringa yeye nikiongozi wa Kanisa tu huwezi kumkuta na ulinzi wala itifaki za kiserikali yeye ni raisi wa TEC hivyo huyo ndo anafanana na Gwajima huwezi kumfananisha Gwajima na papa.
Gwajima hata akienda USA Tramp hawezi kujua Kama kuna mtu kaingia USA. ila Papa akitua nchi yoyote duniani ulinzi wote unahamia kwakwe ndio kiongozi wa nchi Anaelindwa zaidi na ndie aneongoza Nchi ndogo zaidi huku akiongoza waumini wengi zaidi duniani.
Nakusihi usimfananishe kiongozi wa nchi na kiongozi Wa Kanisa duniani lenye waumini Wengi zaidi sio 70000 ni bilioni na zaidi.
Kauli ya Papa inaweza kutumika duniani kote sio kauli ya Gwajima inaishia Tandale.
Papa anaweza kumpigia rais yeyote duniani na kumpa ushauri anaweza kushawishi ila Gwajima anaweza kumshauri Nani Hana hata namba ya Zuma tu wala akimpigia Zuma hawezi pokea.
Nakusihi usifananishe kizibo cha Maji na bahari nakuomba Tafadhali Muda mwingine fikiri Sana.
Jua pia huenda Magufuri anamjua papa ila Papa hamjui Magufuli sembuse Gwajima.
Search mazishi ya papa John Paul ni viongozi gani walihudhuria ukimaliza tafuta kutawazwa papa yeyote ni viongozi Gani walihudhuria.
Utapata jibu Yule ni kiongozi wa kisiasa na kidini halafu nakusihi zaidi usije wafananisha hao watu wawili hadharani watu watacheka Sana uwezo wako Wa kufananisha mambo
 
tafuta hii kitu the council of nicea,325 AD
 
Ukiangalia ile video anamtukana Pengo utacheka ufe!

Huyu Mungu huyu acheni tu!

Gwajima ni muhuni yu flani anaetumia biblia kutapeli watu.
 
Bashite nae tumshangae kutembea na kikosi cha Rais hadi mawinguni
 
Uzuri wa hii nchi hakuna aneuza ngada ila mtaani ipo inauzwa kila anaeambiwa anauza inaonekana hauzi kwasababu ni mtu mwenye hadhi.
Kwahiyo mnafikiri Ngada inauzwa na malofa mtaani.
Usijefikiri utamkuta drug lord na drug ila punda wake unaweza kuwakamata kwahiyo chakufanya ni kuwaharass watalalamika na watalia Sana ila Watapunguza au kuacha Kwa hofu ya kuwa wanajulikana
 
mbona kawaida tu kwa drug lord kuwa na ulinzi kama huo.
Tena huu cha mtoto. Wenzie wanaajiri Navy Seals waliostaafu sembuse hawa Koromije wenzie. Madawa ni biashara ya laana na iliyojaa wasiwasi 24/7 na kifo kiko nje nje. Huyu hata anavyoongea na mamisukule yake kila Jumapili unaweza kuona kabisa jinsi asivyo na amani. Tapeli la karne...na mwisho wake utafika tu! He cannot fool all the people all the time...
 
Ukiangalia ile video anamtukana Pengo utacheka ufe!

Huyu Mungu huyu acheni tu!

Gwajima ni muhuni yu flani anaetumia biblia kutapeli watu.
Pengo alustahiki alicho kipata jwa kwenda kinyume na makubaliano ya maaskofu wa makanisa yote tz, ili tu aineshe maaba yake kwa maccm
 
Ukiangalia ile video anamtukana Pengo utacheka ufe!

Huyu Mungu huyu acheni tu!

Gwajima ni muhuni yu flani anaetumia biblia kutapeli watu.
Katapeli na wewe .huwezi endelea kumeabudu yule jambazi mvamia vituo!
 
Papa sio kiongozi Wa kidini tu ni kiongozi Wa Nchi na nikiongozi wa kanisa. Yeye nikiongozi wa nchi ya Vatican na hata anapokuja Tanzania au nchi yoyote lazima pia rais wa nchi ahusike kwenye mwaliko.
Sasa Gwajima anafanana na akina askofu Ngalalekumtwa wa jimbo katoliki la Iringa yeye nikiongozi wa Kanisa tu huwezi kumkuta na ulinzi wala itifaki za kiserikali yeye ni raisi wa TEC hivyo huyo ndo anafanana na Gwajima huwezi kumfananisha Gwajima na papa.
Gwajima hata akienda USA Tramp hawezi kujua Kama kuna mtu kaingia USA. ila Papa akitua nchi yoyote duniani ulinzi wote unahamia kwakwe ndio kiongozi wa nchi Anaelindwa zaidi na ndie aneongoza Nchi ndogo zaidi huku akiongoza waumini wengi zaidi duniani.
Nakusihi usimfananishe kiongozi wa nchi na kiongozi Wa Kanisa duniani lenye waumini Wengi zaidi sio 70000 ni bilioni na zaidi.
Kauli ya Papa inaweza kutumika duniani kote sio kauli ya Gwajima inaishia Tandale.
Papa anaweza kumpigia rais yeyote duniani na kumpa ushauri anaweza kushawishi ila Gwajima anaweza kumshauri Nani Hana hata namba ya Zuma tu wala akimpigia Zuma hawezi pokea.
Nakusihi usifananishe kizibo cha Maji na bahari nakuomba Tafadhali Muda mwingine fikiri Sana.
Jua pia huenda Magufuri anamjua papa ila Papa hamjui Magufuli sembuse Gwajima.
Search mazishi ya papa John Paul ni viongozi gani walihudhuria ukimaliza tafuta kutawazwa papa yeyote ni viongozi Gani walihudhuria.
Utapata jibu Yule ni kiongozi wa kisiasa na kidini halafu nakusihi zaidi usije wafananisha hao watu wawili hadharani watu watacheka Sana uwezo wako Wa kufananisha mambo

Aiseee,

Umewaua wote wawili kwa.hili bandiko.
Yaani Gwajima na huyu Nyabhingi.

Japo, umemtoa kamasi kichwani siku nyingine hatarudia kupost kabla hajasoma vizuri post yake duuuh.
 
Papa sio kiongozi Wa kidini tu ni kiongozi Wa Nchi na nikiongozi wa kanisa. Yeye nikiongozi wa nchi ya Vatican na hata anapokuja Tanzania au nchi yoyote lazima pia rais wa nchi ahusike kwenye mwaliko.
Sasa Gwajima anafanana na akina askofu Ngalalekumtwa wa jimbo katoliki la Iringa yeye nikiongozi wa Kanisa tu huwezi kumkuta na ulinzi wala itifaki za kiserikali yeye ni raisi wa TEC hivyo huyo ndo anafanana na Gwajima huwezi kumfananisha Gwajima na papa.
Gwajima hata akienda USA Tramp hawezi kujua Kama kuna mtu kaingia USA. ila Papa akitua nchi yoyote duniani ulinzi wote unahamia kwakwe ndio kiongozi wa nchi Anaelindwa zaidi na ndie aneongoza Nchi ndogo zaidi huku akiongoza waumini wengi zaidi duniani.
Nakusihi usimfananishe kiongozi wa nchi na kiongozi Wa Kanisa duniani lenye waumini Wengi zaidi sio 70000 ni bilioni na zaidi.
Kauli ya Papa inaweza kutumika duniani kote sio kauli ya Gwajima inaishia Tandale.
Papa anaweza kumpigia rais yeyote duniani na kumpa ushauri anaweza kushawishi ila Gwajima anaweza kumshauri Nani Hana hata namba ya Zuma tu wala akimpigia Zuma hawezi pokea.
Nakusihi usifananishe kizibo cha Maji na bahari nakuomba Tafadhali Muda mwingine fikiri Sana.
Jua pia huenda Magufuri anamjua papa ila Papa hamjui Magufuli sembuse Gwajima.
Search mazishi ya papa John Paul ni viongozi gani walihudhuria ukimaliza tafuta kutawazwa papa yeyote ni viongozi Gani walihudhuria.
Utapata jibu Yule ni kiongozi wa kisiasa na kidini halafu nakusihi zaidi usije wafananisha hao watu wawili hadharani watu watacheka Sana uwezo wako Wa kufananisha mambo

Sio Gwajima tu akienda USA hatambuliki na Trump ,pia hata Jpm vilevile hawezi pokewa na hata mwenyekiti wa mtaa
 
Back
Top Bottom