Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

[emoji23][emoji23][emoji23]Gwajima huwa ananifurahishaga sanaa....hasa akianza kuongelea chopa yake
"Nilipofika pale kijijini watu wakajaa kushangaa helicopter basi nikawa natua kila mji ilikusalimia siunajua nilikua sijawatembelea siku nyingi"
 
Reactions: MC7
Namuona makonda a.k.a bachite anavyojitutumua kumfikia gwajima kwa mali!!!
 
Kuna wapuuzi wanamfananisha gwajima na papa..gwajima ni sawa na kasisimizi mbele ya papa..mbwembwe zote hzo za ulinzi lakini kwenye foleni tuna nasa wote.
papa ndio nani?
 
Wewe nani bwana, kama unataka wafate wakwambie
Wewe nae sijui ndio wale wale waliolewa kiporo kilicho chacha.

Umekurupuka tu, hebu rudi huko ulipotoka shimoni kwenu Lumumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…