Leo nimeelewa kwa nini.Leo wakati akitinga clouds ameonekana akiwa na ulinzi mkali sana ambao kwa kiongozi Wa dini unatia shakaView attachment 484991
Tena huu cha mtoto. Wenzie wanaajiri Navy Seals waliostaafu sembuse hawa Koromije wenzie. Madawa ni biashara ya laana na iliyojaa wasiwasi 24/7 na kifo kiko nje nje. Huyu hata anavyoongea na mamisukule yake kila Jumapili unaweza kuona kabisa jinsi asivyo na amani. Tapeli la karne...na mwisho wake utafika tu! He cannot fool the people all the time...
Hahahaha thank you!
Hujielewi wewe.
Kama huviamini vipimo vya serikali chukua ukampime kwako
Umepotea sana kiongoziTena huu cha mtoto. Wenzie wanaajiri Navy Seals waliostaafu sembuse hawa Koromije wenzie. Madawa ni biashara ya laana na iliyojaa wasiwasi 24/7 na kifo kiko nje nje. Huyu hata anavyoongea na mamisukule yake kila Jumapili unaweza kuona kabisa jinsi asivyo na amani. Tapeli la karne...na mwisho wake utafika tu! He cannot fool the people all the time...
Tupe ushaidi wa hicho ulichokiandika na sio kuhara tu hapa kama umekula kiporo kilicho chacha.
Kwa Wachache wanaojitambuaMcheki huyo bodyguard wake hapo sikioni mi nilizoea kuona kwenye series tu kumbe hata bongo yapo?
Nilimuuzia, amsaidie nape kampeni mwaka 2020 kupitia cdmHivi hilo Hammer ndo alinunuaga kwa ZZK? Just curiosity. Nimelipenda bure
Punguani kweli wewe, hivi hata umenielewa nilichoandika kweli wewe?wewe hapo ukiambiwa utowe ushahidi kuwa gwajima ni mchungaji wa mungu unaweza? au na wewe ni wale wale wakuhara baada ya kula kinyesi cha aliyekula kiporo kilicho chacha?
Njoo nitegeshee mlango wa nyuma uone Mama wewesawa dada flora mbasha nimekuelewa.
Wewe nani bwana, kama unataka wafate wakwambiePunguani kweli wewe, hivi hata umenielewa nilichoandika kweli wewe?
Nimekwambia kama una ushaidi wa hayo maneno yako unayomshuku Gwajima kuwa ni drug Lord tunaomba utuwekee hapa na sio kuleta porojo, sasa na wewe unaanza kuniuliza vitu vya ajabu ambavyo havihusiani na nilichokiandika awali.
Kwani ni wapi ambapo mimi nimebisha au nimekubali kuwa Gwajima ni mchungaji wa Mungu? Sasa uhitaji wa mimi kukupa ushaidi unatoka wapi!?
Ukijua kitu kinaitwa consent......utaelewaKwahiyo hapo clauds imevamiwa tena?