Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

Mcheki huyo bodyguard wake hapo sikioni mi nilizoea kuona kwenye series tu kumbe hata bongo yapo?
 

Attachments

  • 20170322_115332.jpg
    20170322_115332.jpg
    24.1 KB · Views: 58
Nchi yenu ndipo ilipofikia. Na ndo maana hata Bashite kaongezewa ulizi na ndo maana mabaka sasa hatuji bwana Ben yupo wapi na ndo maanaa hata Magufuli analindwa balaaa na ndo maana kila mmoja wetu ailifanikiwa kujenga nyumba kaweka.bonge la ukuta na geti kibwaaaaa madilisha ya chuma
 
Mazoezi Mchana? nao pia Wamevamia Iundwe Kamati hakuna aliye juu ya Sheria hata kama Wameenda Mchana na sio mausiku ya night
 
Hivi hilo Hammer ndo alinunuaga kwa ZZK? Just curiosity. Nimelipenda bure
 
Back
Top Bottom