Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,569
- 284,096
Usimalize sifa zote mkuu , bakisha zingine , hawa ndio wanampigia saluti lipumba kila siku .Niliipenda sanaaa. Hata jambazi akiona hiyo kwata,anakunja mkia kabla ya kufikiwa. Tumepata jembe. Niko pembezoni huku Lake Tanganyika,watu walipoona vile walishangilia kinoma. Hakika jeshi letu la Polisi limepata mwenyewe! Bravo!