Huu Ukakamavu Wa Sirro Mmeuona?

Huu Ukakamavu Wa Sirro Mmeuona?

IGP ndo mwepesi kuliko woote kwenye misimamo unajua sirro ndo alichezezwa ngoma zoote na bashite sirro ndo alutuhumia hadharani buku tano tano za shisha zimemfikia na kwa udhaifuu huu tu raisi akasema aweke hata range rover lock up na aka wish awe IGP na the only way to b a president and IGP at same time ni kuweka kiumbe dhaifu tu ili everytime you wish to be him unakuwa tu.......

Askari ni mtendaji sio mpiga Porojo.Hayo maneno yalimwathiri kitu gani wakati na cheo kapanda?
 
Hata dotto kapanda cheo ili watu wanunue bombadier bila ridhaa ya bunge so jiongeze sirro kapanda cheo ili iweje na serikali yetu niyakutumbua umeskia wangapi wamepanda cheo mpaka leo......
 
Dear comrades,
While many of us are very positive of the achievements of our Police "FORCE", I am rather skeptical of the trend to "militarise" the police, Prisons, Immigration and fire services in this country. To me, there should only be ONE "force" which is the JWTZ. The others should be Law enforcement agents that assist in restoring law and order in the country. Such trends have not been successful elsewhere in the world to provide peace and security.

Watching Commander Sirro yesterday in the TV gave me a notion that he had already prosecuted and convicted the victims which should be a matter for the Judiciary to determine. This is what they call "extrajudicial killings". The worrying words uttered by the commander that similar fate is bound to occur to whoever the Police force thinks and feel they are involved in the Mkuranga/Kibiti/Lindi murders leaves a lot of fears among the community. We all need peace and security and abhors the grisly murders of innocent civilians occurring in the districts, but whoever responsible should be brought to the courts of justice for determinations of whether they are innocent or guilty of the offenses.

I pray that wisdom will prevail among our law enforcement organs and permanent peace is brought in this beautiful part of our country.

Cheers
 
Wewe na wote mlioshangilia ni ma bwege
Siku hao wahalifu watakushukia kwako,ndo utajiona bwege zaidi! Vinginevyo utuambie wewe ni mmoja wa waliojeruhiwa na unatafutwa!
 
Back
Top Bottom