Wanaume wa dar lazima muogope.
Kwa sasa hatuogopi maana Kamanda Sirro keshawatumbua waliokuwa wanajifanya vijogoo.
Wanaume wa dar lazima muogope.
Una uhakika gani kama kweli katumbua??Kwa sasa hatuogopi maana Kamanda Sirro keshawatumbua waliokuwa wanajifanya vijogoo.
Una uhakika gani kama kweli katumbua??
Bora TibaiganaIGP ni miongoni mwa Makamanda bora ambao Jeshi la Polisi limewahi kupata.
Huu ndio ukweli,hutaki unaacha.
Kwa kukamata upinzani kwa maagizo kutoka juu bila kufuata sheria?Kama mapendekezo ya Sirro yatakuwa yanafanyiwa kazi na Uongozi kwa Wakati nina imani Jeshi la Polisi litakuwa ni Jeshi bora kuliko lolote kwa Afrika.
Kwa kukamata upinzani kwa maagizo kutoka juu bila kufuata sheria?
Kusikia kutoka wapi???Sijasikia wale wahuni wameua Mtu kwa zaidi ya mwezi sasa.
Hiyo kweliKwa sasa hakuna Taasisi yenye ubavu wa kugomea maagizo kutoka juu.Kwa hilo utamlaumu Sirro bure.
Jana ITV.. kamanda sirro alionesha ukakamavu wa hali ya juu ambao sijawahi kuona IGP yeyote yule akifanya na vijana wake, mwenye clip atuwekee kumpa hongera huyu mkuu kwa kuonesha kazi kwa vitendo[/QUOTE
Watu maKatili wa roho za watu
Sent from my HM NOTE 1LTEW using JamiiForums mobile app
IGP ni miongoni mwa Makamanda bora ambao Jeshi la Polisi limewahi kupata.
Huu ndio ukweli,hutaki unaacha.
Watu kama wewe hamna faida kwa taifa naomba uingie kwenye anga za wale Fanya fujo uone wakuvunje miguuSo what!? Tumefaidika na nini?. Kama ukakamavu ni wake na aishie nao hukohuko. Usituletee matapishi hapa,we got no time to discuss.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka nikuoeUpande wako unaiona 9 kwangu iko 6. Usiniforce ni amini unachokiamini wewe. Hamna kitu hapo
Wewe ni pure civilian unayeishi na kulala tu natamani sana kukufahamu kama vipi natuma posa kwenu hata mil ngapi ntatoa hadi nikubadilishe fikraSiasa iko wapi????zaidi zaidi mbaya majambazi yasiyoonekana haya mkojo au mgumu mnazionyesha silaha kwani hao majambazi ni invisible na kinachoonekana ni silaha tupu??? Kwata what's drama kwata inakusaidia wewe?? Kwata my foot
Wewe ni kati ya wajinga, wapumbavu, majuza, majizi na malofa, mafala wachache tulionao nchini, akili yako inauwezo wa kuwa kula na kunya tuDear comrades,
While many of us are very positive of the achievements of our Police "FORCE", I am rather skeptical of the trend to "militarise" the police, Prisons, Immigration and fire services in this country. To me, there should only be ONE "force" which is the JWTZ. The others should be Law enforcement agents that assist in restoring law and order in the country. Such trends have not been successful elsewhere in the world to provide peace and security.
Watching Commander Sirro yesterday in the TV gave me a notion that he had already prosecuted and convicted the victims which should be a matter for the Judiciary to determine. This is what they call "extrajudicial killings". The worrying words uttered by the commander that similar fate is bound to occur to whoever the Police force thinks and feel they are involved in the Mkuranga/Kibiti/Lindi murders leaves a lot of fears among the community. We all need peace and security and abhors the grisly murders of innocent civilians occurring in the districts, but whoever responsible should be brought to the courts of justice for determinations of whether they are innocent or guilty of the offenses.
I pray that wisdom will prevail among our law enforcement organs and permanent peace is brought in this beautiful part of our country.
Cheers
Unawazungumzia hao? Tunakutana nao kila siku kitaani. Just they got no guts to break my legs. Not that way easily. Break my legs I'll break yours more Khaa!Watu kama wewe hamna faida kwa taifa naomba uingie kwenye anga za wale Fanya fujo uone wakuvunje miguu
Bure kabisa hatuna mtu hapa
Hongera siroJana ITV.. kamanda sirro alionesha ukakamavu wa hali ya juu ambao sijawahi kuona IGP yeyote yule akifanya na vijana wake, mwenye clip atuwekee kumpa hongera huyu mkuu kwa kuonesha kazi kwa vitendo