Huu Ukakamavu Wa Sirro Mmeuona?

Huu Ukakamavu Wa Sirro Mmeuona?

Last year ulikuwa kwa 7%... Mkakataa, mwaka huu mmeambiwa kwa kota moja umeshuka na wale wale waliowaambia mwaka jana ulikuwa kwa 7% mkawakatalia sasahv mnakubali.. Sasa nyie kama sio misukule ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora ukawa MSUKULE kwani wakati huo huendeshwi na utashi wako kuliko kuwa member wa [HASHTAG]#UKUKU[/HASHTAG]!!!!kwani mwanaume mzima na elimu yake anajifanya kuwa hazimoooo!!! Acheni UKUKU
 
Jana ITV.. kamanda sirro alionesha ukakamavu wa hali ya juu ambao sijawahi kuona IGP yeyote yule akifanya na vijana wake, mwenye clip atuwekee kumpa hongera huyu mkuu kwa kuonesha kazi kwa vitendo
Duh. Nilishajua nakuja pata report ya kule kusini.Usirudie tena huu upuuzi.
 
dah! we jamaa mjanja sana, pokea like yangu ya nguvu!

Inatakiwa nygax ukiingia watu wakimbie humu vyupi vinakuwa vinawapwaya vinadondoka kama leso Moderators ndio wanakuwa wa kwanza kulala mbele.nygax unatisha baba.
 
Back
Top Bottom