Huu Ukakamavu Wa Sirro Mmeuona?

Huu Ukakamavu Wa Sirro Mmeuona?

Niliipenda sanaaa. Hata jambazi akiona hiyo kwata,anakunja mkia kabla ya kufikiwa. Tumepata jembe. Niko pembezoni huku Lake Tanganyika,watu walipoona vile walishangilia kinoma. Hakika jeshi letu la Polisi limepata mwenyewe! Bravo!
Wewe ni Konstebo, koplo au sajin
 
Wewe vipi? Hapa tunaongelea mambo ya usalama wa kibiti na kuwapa hamasa au mori askari kufanya kazi...ukitaka kuongelea mambo ya uchumi fungua uzi tutakuja huko kuchangia.
Ukakamavu ni kazi yao polisi kila siku,wewe unataka tuwareward watu kwa kazi yao wanayolipwa mshahara kila mwezi?. Bila ubunifu? Bila tija?. Hatuhitaji kujadili chochote hapa. They are getting paid kwa kuwakuwa wakakamavu,that's all

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa iko wapi????zaidi zaidi mbaya majambazi yasiyoonekana haya mkojo au mgumu mnazionyesha silaha kwani hao majambazi ni invisible na kinachoonekana ni silaha tupu??? Kwata what's drama kwata inakusaidia wewe?? Kwata my foot
You have a room to give out you suggestion! Ulitaka mpaka kwenye mapigano ya risasi kuwe na waandishi wa HABARI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe vipi? Hapa tunaongelea mambo ya usalama wa kibiti na kuwapa hamasa au mori askari kufanya kazi...ukitaka kuongelea mambo ya uchumi fungua uzi tutakuja huko kuchangia.
Uchumi na IGP[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .

Huyu magu anavuruga watu,sjui akiendelea hivi hivi itakuwaje miaka miwili baade!!!!!!!
 
Ndo maana always huwa naona siasa za Africa ni UCHWARA tena za kupuuzwa, jambo Jema kwao ni wafanye viongozi wao tu hata kama hali make sense but watalipromote by anymeans...sasa likifanywa out of their leaders ni kukebebehi, kudharau na kukandia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mapungufu hayakosekani , penye ukweli na uzuri tupongeze. Ukiona mabaya kemea. Achana na figisu za wanasiasa na kuna makamanda huwa hawaendeshwi kama Lori ndio maana kuna mikoa hutosikia ujinga huo.
Nmekuelewa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtoto alisifiwa mbio akapitiliza kwao!
 
You have a room to give out you suggestion! Ulitaka mpaka kwenye mapigano ya risasi kuwe na waandishi wa HABARI?

Sent using Jamii Forums mobile app
Weweee. Hauko serious,kwani hujui kazi ya wana habari??kwani mpaka Leo yanaendelea?? Hapo walipopata kuonyesha bunduki Ndio wangeonyesha na wahusika wa ujambazi
 
Acha ujinga. Wamejiharibu wenyewe. Chama chochote cha siasa na chenye wafuasi wengi kama hiki kina sera nzuri za kuliendeleza taifa na watu wake. Na ndio maana kinapata wafuasi wengi na mpaka wanaamua kukiweka madarakani. Tatizo ni ukengeukaji wa mtu binafsi kwa sababu ya ubinafsi na tamaa ya fedha. Tumia akili yako kamanda kufikiri..unaiacha wapi.ndio maana unakuta kulikuwa na mafisadi papa na wengi wengi kama yule mzee na kundi lake. Hao sasa wameshajitumbua wenyewe wameenda eti upinzani. Kwa hiyo kwa sasa chama kikubwa cha upinzani kimegeuka na kuwa chama cha mafisadi na kutetea ufisadi.. hivi tutafika kweli
Kubwa jinga, Over

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana ITV.. kamanda sirro alionesha ukakamavu wa hali ya juu ambao sijawahi kuona IGP yeyote yule akifanya na vijana wake, mwenye clip atuwekee kumpa hongera huyu mkuu kwa kuonesha kazi kwa vitendo
Zilipigwa pushup tukashangilia sasa limepigwa kwata... jichungeni
 
Mbona watu tumeenda bila hofu na tumerudi Salama since then??? What's new???

Kwa kweli mimi nilikuwa naogopa ila sasa naweza kwendaNina imani sana na Kamanda Sirro maana hajui kucheka na Kima.
 
Back
Top Bottom