Eternal_Life
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 812
- 1,675
Ukakamavu bongo,yuko wapi yule mpiga push up majukwaani ili apate cheo.
Yataje hayo mapendekezo tafadhali.Kama mapendekezo ya Sirro yatakuwa yanafanyiwa kazi na Uongozi kwa Wakati nina imani Jeshi la Polisi litakuwa ni Jeshi bora kuliko lolote kwa Afrika.
Ohiiiiiii
Mmmmmh[emoji18]Promo at work...[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]kwa ukakamavu gani,mzito anaruka kama amebebebshwa mawe mgongoni
Promo at work...[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]kwa ukakamavu gani,mzito anaruka kama amebebebshwa mawe mgongoni
Itakua ndugu zenu wamepigwa (wamekufa) kati ya wale majambaziWewe na wote mlioshangilia ni ma bwege
IGP ndo mwepesi kuliko woote kwenye misimamo unajua sirro ndo alichezezwa ngoma zoote na bashite sirro ndo alutuhumia hadharani buku tano tano za shisha zimemfikia na kwa udhaifuu huu tu raisi akasema aweke hata range rover lock up na aka wish awe IGP na the only way to b a president and IGP at same time ni kuweka kiumbe dhaifu tu ili everytime you wish to be him unakuwa tu.......IGP ni miongoni mwa Makamanda bora ambao Jeshi la Polisi limewahi kupata.
Huu ndio ukweli,hutaki unaacha.
Mpiga push ups ndio huyo anawabuluza mpaka majizi mnatamani mukimbilie KenyaUkakamavu bongo,yuko wapi yule mpiga push up majukwaani ili apate cheo.
Mfumo wa CCM ndiyo mbovu.Walienda JKT kwa miaka miwili wakaenda CCP wakafundishwa mbinu na nidhamu ila siasa za chama cha hatamu kimewaharibu watendaji wengi wa nchi yangu.
Rest in advance Joyce Ndalichako.
Mkuu " opposition is not all about apposing each & everything! Learn which is potential for our dvlpmt.Promo at work...[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]kwa ukakamavu gani,mzito anaruka kama amebebebshwa mawe mgongoni
Siamini kama kwel wamekufaJana ITV.. kamanda sirro alionesha ukakamavu wa hali ya juu ambao sijawahi kuona IGP yeyote yule akifanya na vijana wake, mwenye clip atuwekee kumpa hongera huyu mkuu kwa kuonesha kazi kwa vitendo
Sijakusoma mkuu,ulikuwa unamaanisha niniWalienda JKT kwa miaka miwili wakaenda CCP wakafundishwa mbinu na nidhamu ila siasa za chama cha hatamu kimewaharibu watendaji wengi wa nchi yangu.
Rest in advance Joyce Ndalichako.
This guy is a man of action.Sijawahi kuona IGP of his nature.Nadhani atasaidia kulifufua jeshi la Polisi.Keep it up Sirro,jeshi la Polisi liligeuka kuwa chaka la ..............Jana ITV.. kamanda sirro alionesha ukakamavu wa hali ya juu ambao sijawahi kuona IGP yeyote yule akifanya na vijana wake, mwenye clip atuwekee kumpa hongera huyu mkuu kwa kuonesha kazi kwa vitendo