warundi?Niliipenda sanaaa. Hata jambazi akiona hiyo kwata,anakunja mkia kabla ya kufikiwa. Tumepata jembe. Niko pembezoni huku Lake Tanganyika,watu walipoona vile walishangilia kinoma. Hakika jeshi letu la Polisi limepata mwenyewe! Bravo!
warundi?Niliipenda sanaaa. Hata jambazi akiona hiyo kwata,anakunja mkia kabla ya kufikiwa. Tumepata jembe. Niko pembezoni huku Lake Tanganyika,watu walipoona vile walishangilia kinoma. Hakika jeshi letu la Polisi limepata mwenyewe! Bravo!
Kwahiyo tusiongee tunachokiona?? Kama kwako 9 kwangu 6Mkuu " opposition is not all about apposing each & everything! Learn which is potential for our dvlpmt.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zwazwa at work
Wabende!warundi?
Kwahiyo nifanyaje?? Ndio nishasema Hamna kitu hapo,sio lazima niamnii unachokiamini. Logic kwako upuuzi kwangu,and the vice versa.IGP ni miongoni mwa Makamanda bora ambao Jeshi la Polisi limewahi kupata.
Huu ndio ukweli,hutaki unaacha.
Wewe watu wameua watu...umekutana nao kwenye ulingo wa mapambona, ulitaka wabembelezwe waweke kuweka silaha chini huku kwenye vita ilikuwa ni kuwaiana...kawatetee sasa ndo wameshauawa hivyoDear comrades,
While many of us are very positive of the achievements of our Police "FORCE", I am rather skeptical of the trend to "militarise" the police, Prisons, Immigration and fire services in this country. To me, there should only be ONE "force" which is the JWTZ. The others should be Law enforcement agents that assist in restoring law and order in the country. Such trends have not been successful elsewhere in the world to provide peace and security.
Watching Commander Sirro yesterday in the TV gave me a notion that he had already prosecuted and convicted the victims which should be a matter for the Judiciary to determine. This is what they call "extrajudicial killings". The worrying words uttered by the commander that similar fate is bound to occur to whoever the Police force thinks and feel they are involved in the Mkuranga/Kibiti/Lindi murders leaves a lot of fears among the community. We all need peace and security and abhors the grisly murders of innocent civilians occurring in the districts, but whoever responsible should be brought to the courts of justice for determinations of whether they are innocent or guilty of the offenses.
I pray that wisdom will prevail among our law enforcement organs and permanent peace is brought in this beautiful part of our country.
Cheers
Siasa iko wapi????zaidi zaidi mbaya majambazi yasiyoonekana haya mkojo au mgumu mnazionyesha silaha kwani hao majambazi ni invisible na kinachoonekana ni silaha tupu??? Kwata what's drama kwata inakusaidia wewe?? Kwata my footKupinga kila kitu hata ambpo hakufai kuweka siasa, haya twambie bi igp gni aliyewahi kupiga kwata na kikosi cha kazi kma yeye?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je askari wetu bado wanaendelea kutumika kisiasa ama la?Mkuu, najua Upo CDM, lakini si kila comment uziweke na siasa. Kamanda Siro yupo kazini na unafanya kwa kuonesha uongozi wa mfano. Kwann kila jambo unaliona kwa mrengo wa siasa za majitaka ya UKAWA na CCM?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona majibu unayotoa kwa kola mru ni kma vile unatafuta ugomvi na watu...sisi hatujasababisha hali yko kuwa ngumu...mkuu punguza jazba haya ni majadiliano ya kawaida tu cyo ngumuSiasa iko wapi????zaidi zaidi mbaya majambazi yasiyoonekana haya mkojo au mgumu mnazionyesha silaha kwani hao majambazi ni invisible na kinachoonekana ni silaha tupu??? Kwata what's drama kwata inakusaidia wewe?? Kwata my foot
Je, askari wanaokomesha uhalifu maeneo ya Kibiti na kwingineko, wanaenda kisiasa?Je askari wetu bado wanaendelea kutumika kisiasa ama la?
Kwahiyo nifanyaje?? Ndio nishasema Hamna kitu hapo,sio lazima niamnii unachokiamini. Logic kwako upuuzi kwangu,and the vice versa.
Mkuu punguza maspidi ili uelewe! Sijasema siwapongezi kwa kutenda kazi zao kiweledi bali je hawatumiki kisiasa hilo ndilo swali langu?Je, askari wanaokomesha uhalifu maeneo ya Kibiti na kwingineko, wanaenda kisiasa?
Mimi naona wapo kazini kumlinda UKAWA,CCM na asiye na nasaba na hizo SACCOS.
Unaonaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mkuu punguza maspidi ili uelewe! Sijasema siwapongezi kwa kutenda kazi zao kiweledi bali je hawatumiki kisiasa hilo ndilo swali langu?
Au ili unielewe vema "NAWAPA CHANGAMOTO WAONGEZE WELEDI KATIKA KAZI ZAO ILI KUJENGA IMANI INAYOPOTEA NA UAMINIFU BAINA YA WANANCHI - IKIWA MIKUTANO YA KISIASA ILIVAMIWA NA MAJAMBAZI NA HAWAKUCHUKULIWA HATUA MPAKA LEO WANADUNDA NA KUJITAPA... IKIWA WATU WALIWAONESHA SILAHA WAHESHIMIWA NA MAMBO YAKAISHA KIMYAKIMYA BADO MATUKIO YALE YAKIJIRUDIA TUTASEMAJE?"
Uhalifu uzuiwe kabla haujatokea, uhalifu ukomeshwe kokote uliko. kikubwa WELEDI utawale zaidi ili kuondoa makandokando na mashaka.
Simsifii mgema ili aharibu tembo...
Ila cha ajabu na yeye ana buluzwa kweli na na data za uchumi kwenda mlama!!! Uchumi hauongopi. Wala haukuzwi kwa matamko au vitisho. Bali ni mikakati!!!!Mpiga push ups ndio huyo anawabuluza mpaka majizi mnatamani mukimbilie Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila cha ajabu na yeye ana buluzwa kweli na na data za uchumi kwenda mlama!!! Uchumi hauongopi. Wala haukuzwi kwa matamko au vitisho. Bali ni mikakati!!!!Mpiga push ups ndio huyo anawabuluza mpaka majizi mnatamani mukimbilie Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtoto alisifiwa mbio akapitiliza kwao![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mapungufu hayakosekani , penye ukweli na uzuri tupongeze. Ukiona mabaya kemea. Achana na figisu za wanasiasa na kuna makamanda huwa hawaendeshwi kama Lori ndio maana kuna mikoa hutosikia ujinga huo.
Nmekuelewa!
Sent using Jamii Forums mobile app