Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.

Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.

Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!

Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Hakutaki achana nae na ameshakusaliti. Kuna watu wanakutegemea wakiwemo wazazi wako mwache asepe atakuua huyo. Hata sisi hapa JF tunakuona mtu muhimu sana na hatupo tayari kukupoteza
 
Kama sababu ndiyo hizo then hiyo ndoa haitoboi.

Kwanza huko ulikomfuata pengine ana mtu tayari umeenda kumtibulia na kumpa nafasi wala haitosaidia.

Ukioana na mwanamke anayekuzidi kipato hutakiwi kuwa kichomi (uwe mkamilifu kwake),kwanza huwa wanaumia mno kuombwa/kukopwa hela na mume!

Achika tu kama jitihada zote zimegonga ukuta ingawa wewe ndiye loser mpaka hapa!
 
Zipo nyingi ndio. Na ni kwasababu wameaminishwa kwamba bila kuolewa hawataheshimika. Ila ukweli ni kwamba ndoa inampa feva zaidi mwanaume. Mwanamke ni kijakazi tu kama sheria za ndoa ya kiafrika zaitafuatwa kisawasawa.

😂

Zuchu asingekua anaililia
 
Zipo nyingi ndio. Na ni kwasababu wameaminishwa kwamba bila kuolewa hawataheshimika. Ila ukweli ni kwamba ndoa inampa feva zaidi mwanaume. Mwanamke ni kijakazi tu kama sheria za ndoa ya kiafrika zaitafuatwa kisawasawa.
Acha kupotosha kwenye taasisi ya ndoa kwa kiasi kikubwa anayefaidika zaidi ni mwanamke kulipo mwanaume, hata sheria za ndoa ikiwemo ya Tanzania inampa favor mwanamke kulipo mwanaume .

Yaani sheria inaruhusu mke kukopa kwa jina la mume wake lakini hairuhusu mume kukopa kwa jina la mke wake .

Sheria inaeleza mume atagharamia gharama zote za mke wake wakiwa kwenye ndoa au wakiwa wametengana . Ila haiongelei kumtaka mke kugharamia chochote . Yaani ukioa tu Mke anatakiwa agharamikiwe kila kitu na Mume hata kama mke anakipato kikubwa yaani sheria haijaweka hata option ya kuangalia kipato cha mke. Mzigo wote kaangushiwa Mume kisheria kabisa

Pia ikitokea ndoa imevunjika kama kuna mtoto chini ya miaka 18 mume peke yake ndio anatakiwa kumgharamikia huyo mtoto utafikiri kamzaa yeye mwenyewe. Hii nayo ni bila kuangalia tofauti ya kipato mzigo wote kaangushiwa mume kisheria

Aidha sheria pia inatamka kwamba endapo ndoa itavunjika lazima mtoto atunzwe na mama hata kama mtoto huyo hanyonyi.

Sasa na wewe nitajie kifungu chochote kwenye sheria ya ndoa ya Tanzania kinachombeba Mume.

Nimekuambatishia baadhi ya vifungu vunavyompendelea Mke kwenye ndoa na kumkandamiza Mume.
 
Attachments

  • Screenshot_20250728_145708_Chrome.jpg
    Screenshot_20250728_145708_Chrome.jpg
    446.1 KB · Views: 21
  • Screenshot_20250728_144241_Chrome.jpg
    Screenshot_20250728_144241_Chrome.jpg
    252 KB · Views: 17
Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.

Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.

Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!

Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Tatizo ni wewe

Mpe anachotaka
 
Sijazaa nae na nina mwaka nae
As long as hamjazaa, wala hutakiwi kuwaza kuhusu talaka.

Tena ikiwezekana mfukuze kabisaaa na akiondoka usihangaike kuoa, leta hawa wa sogea tuishi.

Najua unaona ngumu sababu unawaza watu watakuchukuliaje?
 
Kumbe wewe ni cha pombe na umekula pesa za maendeleo za familia,ajira hauna pesa za familia unanywea pombe ...aisee una haki upigwe ban na mkeo
 
Hakuna namna utaweza kutoka kwenye ili, Mwanamke akifikia hatua akakutamkia muachane basi fanya hivyo uzuri yeye yupo tayari kuwaambia wazazi wake basi we mpe anachokiitaji..
Bila kujua kama mna watoto au la, Kama mna Mali au LA..fanya haraka maamuzi anayoyataka..
Kwanza, Tenganeni kwa muda yani kama mna nyumba basi muache hapo wewe nenda kapange hata chumba kimoja or kama yupo tayari Mwambie nenda kwanza kwenu mpe nauli then we endelea kuishi hapo na ili usipate msongo Sana tafuta Sub yake mapema
Hyo sub usiifikishe hapo nyumbani
 
Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.

Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.

Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!

Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.

Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.

Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!

Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Wewe una hamu hamu kubwa ya kulishwa sumu,anza kuweka password zako.wazi sababu kilamkitu kinaenda kuisha very soon,mwanamke unamhitaji yeye hakuhitaji unalazimisha,klagambahao
 
Kwa kuwa makosa ni yako,usimpe taraka ila ondoka umuache peke yake,usimbembeleze saaana,mara moja kwa mwezi mjulie Hali then unakausha! Ikiisha miezi 6 muombe msamaha kwa yote akikataa Anza mchakato WA taraka!
Tumekua tukiona wamama wanakimbia miji yao wakati wa marital issues..ila sasa wanaume ndiyo wanashauriwa kukimbia miji yao.
Dunia ipo kasi sana.
Nb;
Mungu kamweka mwanaume kuwa msimamizi family,ukikimbia mji wako kisa mke ujue utawajika mbele za Mungu.
MIMI BINAFSI.NIIWE NIMEKOSEA AMA LAH. KE NDIYO AKIMBIE SIO MIMI.
 
Shida hasa ilikuwa pombe kiasi sikuwa nazingatia familia na hapo alikuwa mkoa mwingine kikazi hii ilileta shida kiasi hta nikashindwa kuheshimu amana zake sababu kunq wakati alipata eneo shamba nimnunulie na alinitumia milioni moja lkn sikuitimiza hii ahadi na ulitokea mzozo wa kudai talaka pia lkn tulikaa na familia tukamaliza hili kwa kuahidi kumrejeshea kiasi chake.Wakati huo mimi ni misheni town tu yy ni mujiriwa familia ikashauri itabidi ukaungane na mwenzio pmj nilikubalina na wazo hili nikajichukulia hakiba yangu kwanza nikamlipa kiasi chake nikabaki km na m hv ukiondoa maswala ya nauli na mahitaj mengine nikabakiwa km na laki 7 hivi so toka nimefika huku ni mwezi wa 4 sasa vtu havijaenda vile inavyotakiwa au ilivyopngwa.
Wiki iliyopita Kuna kiasi chake km 200000 hiv niliichukua na kumuahidi ntamrejeshea jna lkn sikutimiza hii ahadi, mara ghafla naona usiku vilio nauliza nini tatzo majibu ndio km hayo
Pole sana mkuu, naona kama unajitahidi sana kumlipa mkeo hela ambazo anakudai, ingawa yeye bado haoni hilo. Binafsi naona huyu mwanamke amesha kuchoka, atakuletea visa tu muachane. Shida hapo ni kipato chako anaona kidogo. Wenzetu hawa huwa sio wavumilivu sana ikifikia hali kama hiyo. Ukimlazimisha ataku cheat mwisho mje muuane bure.
 
Back
Top Bottom