Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,577
Ni kweli, pia sio kila mwanaume anafaa kuwa mume.Ni kweli ingawa sio kila mwanamke anafaaa kuolewa.
Ni kweli, pia sio kila mwanaume anafaa kuwa mume.Ni kweli ingawa sio kila mwanamke anafaaa kuolewa.
Sasa haujazaa naye unafikiria nini, mpe anachotakaSijazaa nae na nina mwaka nae
Kuna maisha baada ya talaka mkuu.Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.
Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.
Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!
Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Naelewa, ila yaliyotokea, yameshatokea.Na nafsi inanisuta hasa
Kuwa mwanaume babu. Piga chini. Kwani akifa unafanyaje? Jitahd kuruhusu kukubali jambo likifika wakat wake kakaFuraha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.
Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.
Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!
Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Fuata moyo wako mkuu. Kama moyo umegoma kumuachia usimuache. Ndoa nyingi unazoziona zipo hadi uzeeni zilipitia changamoto hata kufikia kutamani kuachana. Walitatua tofauti zao maisha yakaendelea.Uko sahihi kwa asilia mia mkuu
Kwenye kisa chake mnampotoshaKuwa mwanaume babu. Piga chini. Kwani akifa unafanyaje? Jitahd kuruhusu kukubali jambo likifika wakat wake kaka
Nyie ndio mnakunywaga sumu mkiqchwa. Hii dunia upo peke yako babuKwenye kisa chake mnampotosha
Bwashee tuliza kichwa. Tunazungumzia ndoa ya mtu sio yako. Kuna wanaume wakifuata ushauri kama huo wako ndio unawapoteza kabisa. Hatufanani.Nyie ndio mnakunywaga sumu mkiqchwa. Hii dunia upo peke yako babu
Pole sana mkuu , ni bora impatient talaka yake .Shida hasa ilikuwa pombe kiasi sikuwa nazingatia familia na hapo alikuwa mkoa mwingine kikazi hii ilileta shida kiasi hta nikashindwa kuheshimu amana zake sababu kunq wakati alipata eneo shamba nimnunulie na alinitumia milioni moja lkn sikuitimiza hii ahadi na ulitokea mzozo wa kudai talaka pia lkn tulikaa na familia tukamaliza hili kwa kuahidi kumrejeshea kiasi chake.Wakati huo mimi ni misheni town tu yy ni mujiriwa familia ikashauri itabidi ukaungane na mwenzio pmj nilikubalina na wazo hili nikajichukulia hakiba yangu kwanza nikamlipa kiasi chake nikabaki km na m hv ukiondoa maswala ya nauli na mahitaj mengine nikabakiwa km na laki 7 hivi so toka nimefika huku ni mwezi wa 4 sasa vtu havijaenda vile inavyotakiwa au ilivyopngwa.
Wiki iliyopita Kuna kiasi chake km 200000 hiv niliichukua na kumuahidi ntamrejeshea jna lkn sikutimiza hii ahadi, mara ghafla naona usiku vilio nauliza nini tatzo majibu ndio km hayo
Mi naona tatizo mwamba hana pesa, Wala sio ulevi. Meanamke hawezi vumilia mtu hana pesa.Kumbe tatizo ni wewe halafu sisi tunamlaumu Binti wa watu,
Mkeo kaona hawezi kufanya maisha na mtu aliyetawaliwa na ulevi na kusahau majukumu yake na future ya maisha yake/Maisha yenu,
Kwa kesi hii nipo upande wa mkeo coz siamini kama umebadilika,
Mpe talaka Binti wa watu kisha wewe tafuta mlevi mwenzako umuoe,mtaendana vizuri sana,siku zingine mtakua mnaamua tu kama mlale Kilabuni au mrudi home.
Huyu mtoa post inaelekea ni mwanaume mzembe , anatuzalilisha sisi wanaume hivi kweli unaanzaje kumkopa mke wako pesa ?Nikiwaambia kwamba mwanaume ndo anahitaji ndoa kuliko mwanamke mnabisha. Ona sasa
Mpaka damu ikutoke ndo utaelewaUMesomeka kiongozi nashukuru pia japo jambo hili kwangu ni gumu
ukweli ni kwamba ndoa sio mhimu kwa kila mtu.Ni kweli, pia sio kila mwanaume anafaa kuwa mume.