Empty container for sale
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 2,617
- 2,123
Pole sana
Sasa kama mkeka ulichanikaMwanetu wewe husaidiki unakula hadi hela ya maendeleo ya familia yako? We hushindwi kula ada ya wanao mkeo kaona mbali humfai 🤣🤣
Asipofuata huu ushauri basi anajitakia matatizoMkuu,maisha ni mafupi sana,hakuna haja ya kujitesa,
Najua mapenzi yanauma hasa kwa mtu uliyempenda,
Ila huyo mkeo amesha kusoma udhaifu wako,mwanamke akidai talaka kisha ukaonyesha dalili ya kutompa talaka,hukudharau maradufu ya alivyokua anakudharau,
Ushauri wangu ni huu,
Huo ndio ushauri wangu,
- Mrudishe kwao,akajitafakari,akiwa huko kwao,usimpigie simu wala kumjulia hali,mpotezee kabisa ili aijue thamani yako,jionyeshe kua hata wewe kwasasa humuhitaji kwa hiyo tabia yake,
- Mtwange talaka aende zake ila usifanye haraka ya kutafuta Mwanamke mwingine,jipe muda wa kupumzika na kujitafakari,usimbembeleze kabisa,atakudharau zaidi,
The rest it's up to You.
Alishauriwa kutoa talaka coz hakuweka sababu ya Mkewe kuomba talaka,so wachangiaji wakajua kua huyo mkewe amemchoka tu jamaa yake,Fanya hivyo mkuu,wanaokushauri umpe taraka hawajaelewa situation ilivyo!
Cha kuzingatia taraka usimpe halafu usiwe unamtafuta tafuta Sana,ukimtafuta ni mara moja moja!!
Achana na huyo Ke mara 1, atakupiga matukio tangu kuumbwa kwa dunia hukuwahi kushuhudia.Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.
Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.
Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!
Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Wasapu sina Nina kiswaswadu!Mkuu shibela na mimi nitakua nakutafuta mara chache npm no ya wasapu
Jamaa ni tapeli anamtapeli mke wake. Ndo maana mke ana akili hataki kuzaa na mhuniUngesema ulimukosea nini mkeo kwanza.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.Mimi sijaoa ili nikiwaza aya mambo yanayo tokea kwa wenzangu, moyo unakufa ganzi kuoa yule binti.
😂Sasa unakuta ana msambwanda we kuweza
Mbona inatakiwa yeye ndio akupe talakaShida hasa ilikuwa pombe kiasi sikuwa nazingatia familia na hapo alikuwa mkoa mwingine kikazi hii ilileta shida kiasi hta nikashindwa kuheshimu amana zake sababu kunq wakati alipata eneo shamba nimnunulie na alinitumia milioni moja lkn sikuitimiza hii ahadi na ulitokea mzozo wa kudai talaka pia lkn tulikaa na familia tukamaliza hili kwa kuahidi kumrejeshea kiasi chake.Wakati huo mimi ni misheni town tu yy ni mujiriwa familia ikashauri itabidi ukaungane na mwenzio pmj nilikubalina na wazo hili nikajichukulia hakiba yangu kwanza nikamlipa kiasi chake nikabaki km na m hv ukiondoa maswala ya nauli na mahitaj mengine nikabakiwa km na laki 7 hivi so toka nimefika huku ni mwezi wa 4 sasa vtu havijaenda vile inavyotakiwa au ilivyopngwa.
Wiki iliyopita Kuna kiasi chake km 200000 hiv niliichukua na kumuahidi ntamrejeshea jna lkn sikutimiza hii ahadi, mara ghafla naona usiku vilio nauliza nini tatzo majibu ndio km hayo
Yani mwana kazingua sana mkewe yuko bize kutafuta pesa na kujibana hela ipatikane ya maendeleo yao wenyewe kama familia yeye hela yake anakula mitungi inafikia hadi anakula hela ya mkewe ambayo anapewa ili akatafute eneo kwa faida yao wenyewe kweli ?? 😂😂Sasa kama mkeka ulichanika
Hakuweka sababu lakini alisema yeye ndo chanzo cha ugomvi!!Alishauriwa kutoa talaka coz hakuweka sababu ya Mkewe kuomba talaka,so wachangiaji wakajua kua huyo mkewe amemchoka tu jamaa yake,
Amekuja kuweka sababu ya Mkewe kudai talaka baadae kabisa,kwenye comment #38
Ushauri kwa wanaume wenzangu, tafuteni pesa achaneni na pesa za wanawake, usipende kuomba hela ya mwanamke kwa matumizi yako. Likiwepo hitaji la familia na huna hela, kaa naye chini na atoe pesa kwa moyo wake na sio kukukopa pesa hizo, yawepo makubaliano ya yeye kutoa hicho kiasi kwa tatizo la familia maana kwa muda huo wewe huna.Kumbe shida uchumi anaona kama anakulea Mungu ata
Badilika jisahihishe mtulizane
Mwache aje kwangu mimi X wake nimtundike ujauzito kisha nimchinjie baharini, kawezaje kuwaacha wazazi wake kwaajili ya ndoa sembuse ashindwe kukuacha wewe na mimi?Sijazaa nae na nina mwaka nae
Jamaa alipata bahati kubwa sana ya kupata mke mwenye akili na malengo,Yani mwana kazingua sana mkewe yuko bize kutafuta pesa na kujibana hela ipatikane ya maendeleo yao wenyewe kama familia yeye hela yake anakula mitungi inafikia hadi anakula hela ya mkewe ambayo anapewa ili akatafute eneo kwa faida yao wenyewe kweli ?? 😂😂
Anapiga kabala ya kumaliza deni afu anamkopa tena wife hela alafu kurudisha matanga huyu mke an malengo alafu kaona kwenye malengo yake huyu mwana hawezi mpeleka popote ni pata potea.
Kama tatizo sio usaliti basi mambo ni mawili tu ni shirki au nguvu za kiume full stop.Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.
Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.
Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!
Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Mkuu umeivunja ndoa yako mwenyewe, huyo mwanamke ni dhahabu nikupe pole kwa kupoteza mwanamke mwenye akili na supportive kwako licha ya kuwa amekuzidi kipato ila alikuwa anakujali na kukuheshimisha ila wewe umezingua na mbaya zaidi mpaka familia ishajua we ni tapeli. Muache akae peke yake kwa muda na kwa wakati huo hakikisha unapambana urejeshe hela zake bila kujali maamuzi yake.Shida hasa ilikuwa pombe kiasi sikuwa nazingatia familia na hapo alikuwa mkoa mwingine kikazi hii ilileta shida kiasi hta nikashindwa kuheshimu amana zake sababu kunq wakati alipata eneo shamba nimnunulie na alinitumia milioni moja lkn sikuitimiza hii ahadi na ulitokea mzozo wa kudai talaka pia lkn tulikaa na familia tukamaliza hili kwa kuahidi kumrejeshea kiasi chake.Wakati huo mimi ni misheni town tu yy ni mujiriwa familia ikashauri itabidi ukaungane na mwenzio pmj nilikubalina na wazo hili nikajichukulia hakiba yangu kwanza nikamlipa kiasi chake nikabaki km na m hv ukiondoa maswala ya nauli na mahitaj mengine nikabakiwa km na laki 7 hivi so toka nimefika huku ni mwezi wa 4 sasa vtu havijaenda vile inavyotakiwa au ilivyopngwa.
Wiki iliyopita Kuna kiasi chake km 200000 hiv niliichukua na kumuahidi ntamrejeshea jna lkn sikutimiza hii ahadi, mara ghafla naona usiku vilio nauliza nini tatzo majibu ndio km hayo
Mwanamke anakwambia hana furaha na hiyo ndoa, keshapata furaha kwingine wewe unasema unamuhitaji.Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.
Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.
Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!
Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Sio kuwa anataka talaka bila sababu, sababu ipo Ila jamaa hajataka kuitaja wala hataki make wake aiseme hiyo sababu kwa wazazi wakePole sana kiongozi, hii taasisi ni ngumu mno na ku-survive inahitaji uvumilivu na upendo mwingi pia. Kama mke anasisitiza apewe talaka yake bila kutoa sababu hapo sababu itakuwa ni kuna mwamba mwingine ameanza kum-drive crazy kwahiyo wewe chakufanya hapo ni kumpa anachotaka