Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

Mnamshauri atoe talaka wakat hatujui ttzo ni nini

Story yako ina magepu mengi na haijakamilika, ebu eleza shida yenu nn na mlikaa vikao kusuruhisha nini ebu weka mambo wazi ndo ushauriwe

Great thinker mko haraka sana kutoa maamuzi mbona mnakosa sifa za kua ma great thinker
Mbona ameshaeleza tatizo kwenye post #38,jamaa tatizo lake ni ulevi,wife anapambana anampa hela afanye jambo la maendeleo mshikaji anapigia kilevi
 
Bwashee tuliza kichwa. Tunazungumzia ndoa ya mtu sio yako. Kuna wanaume wakifuata ushauri kama huo wako ndio unawapoteza kabisa. Hatufanani.

Hivi ingekuwa wewe umetuma pesa kwa mkeo anunue uwanja akazipiga kwa kunywea pombe ungemfanya nini? Halafu anakuazima pesa ili akanywe wewe ungemvumilia. Kwa vyovyote vile ungefukuza siku hiyohiyo. Kijana kamtibua wife ushauri wenu mnapoteza
Basheer nakuelewa kabisa. Ila nachojua ndoa ni ile miaka 3 ya kwanza the rest ni history. Kuna namna mkeo hatakiwi kukujua sana. Kila kitu na kiasi mzee. Ukilegea sehem jiandae na hiz pancha.
 
Mimi sijaoa ili nikiwaza aya mambo yanayo tokea kwa wenzangu, moyo unakufa ganzi kuoa yule binti.
Yote haya yanatokea kwa mfumo wetu dume! Kwa kweli mimi tangu nilipokamatwa kuchepuka nilijiapiza sitaki tena! Sema wife alinisamehe kwa vile mchepuko ulikuwa wa kueleweka ningeangukia pa hovyo angenimaliza! Sasa huyu mwamba ukute ni mtu asiyeona sketi inakatiza mbele yake!
 
Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.

Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.

Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!

Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Mpe talaka yake usijifanye hujasikia heri muwe na ugomvi halafu adai talaka unaweza ukavunga ila ukiona mwanamke anadai talaka na haujamkera kivile bora umpe maana tukio atakalokuchapa nalo hautakaa sawa tena
 
Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.

Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.

Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!

Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Mkuu mimi sijaoa lakini kuifupi ninahisi teyari mko na familia.nikushauri tu jambo moja kama hutojali,ikiwa unahitaji amani ya moyo,basi mfanyie anachotaka lakini usikae mbali na familia yako (watoto) hata kidogo kwa maana huenda kunasumu itaundwa,ni vyema kujihami mapema.lakini utakapo ng'ang'ania eti kisa unampenda "be ready for anything in anytime"
 
Shida hasa ilikuwa pombe kiasi sikuwa nazingatia familia na hapo alikuwa mkoa mwingine kikazi hii ilileta shida kiasi hta nikashindwa kuheshimu amana zake sababu kunq wakati alipata eneo shamba nimnunulie na alinitumia milioni moja lkn sikuitimiza hii ahadi na ulitokea mzozo wa kudai talaka pia lkn tulikaa na familia tukamaliza hili kwa kuahidi kumrejeshea kiasi chake.Wakati huo mimi ni misheni town tu yy ni mujiriwa familia ikashauri itabidi ukaungane na mwenzio pmj nilikubalina na wazo hili nikajichukulia hakiba yangu kwanza nikamlipa kiasi chake nikabaki km na m hv ukiondoa maswala ya nauli na mahitaj mengine nikabakiwa km na laki 7 hivi so toka nimefika huku ni mwezi wa 4 sasa vtu havijaenda vile inavyotakiwa au ilivyopngwa.
Wiki iliyopita Kuna kiasi chake km 200000 hiv niliichukua na kumuahidi ntamrejeshea jna lkn sikutimiza hii ahadi, mara ghafla naona usiku vilio nauliza nini tatzo majibu ndio km hayo
Kumbe we jamaa ni fala.
Pesa za maendeleo ya familia tena jasho la mkeo wewe unapeleka kwenye ulevi. Wanaume wa hivi mmelaniwa
 
Mkuu mimi sijaoa lakini kuifupi ninahisi teyari mko na familia.nikushauri tu jambo moja kama hutojali,ikiwa unahitaji amani ya moyo,basi mfanyie anachotaka lakini usikae mbali na familia yako (watoto) hata kidogo kwa maana huenda kunasumu itaundwa,ni vyema kujihami mapema.lakini utakapo ng'ang'ania eti kisa unampenda "be ready for anything in anytime"
Jamaa amemkosea sana mke wake
 
Acha kupotosha kwenye taasisi ya ndoa kwa kiasi kikubwa anayefaidika zaidi ni mwanamke kulipo mwanaume, hata sheria za ndoa ikiwemo ya Tanzania inampa favor mwanamke kulipo mwanaume .

Yaani sheria inaruhusu mke kukopa kwa jina la mume wake lakini hairuhusu mume kukopa kwa jina la mume wake .

Sheria inaeleza mume atagharamia gharama zote za mke wake wakiwa kwenye ndoa au wakiwa wametengana . Ila haiongelei kumtaka mke kugharamia chochote . Yaani ukioa tu Mke anatakiwa agharamikiwe kila kitu na Mume hata kama mke anakipato kikubwa yaani sheria haijaweka hata option ya kuangalia kipato cha mke. Mzigo wote kaangushiwa Mume kisheria kabisa

Pia ikitokea ndoa imevunjika kama kuna mtoto chini ya miaka 18 mume peke yake ndio anatakiwa kumgharamikia huyo mtoto utafikiri kamzaa yeye mwenyewe. Hii nayo ni bila kuangalia tofauti ya kipato mzigo wote kaangushiwa mume kisheria

Aidha sheria pia inatamka kwamba endapo ndoa itavunjika lazima mtoto atunzwe na mama hata kama mtoto huyo hanyonyi.

Sasa na wewe nitajie kifungu chochote kwenye sheria ya ndoa ya Tanzania kinachombeba Mume.

Nimekuambatishia baadhi ya vifungu vunavyompendelea Mke kwenye ndoa na kumkandamiza Mume.

Acha kupotosha kwenye taasisi ya ndoa kwa kiasi kikubwa anayefaidika zaidi ni mwanamke kulipo mwanaume, hata sheria za ndoa ikiwemo ya Tanzania inampa favor mwanamke kulipo mwanaume .

Yaani sheria inaruhusu mke kukopa kwa jina la mume wake lakini hairuhusu mume kukopa kwa jina la mke wake .

Sheria inaeleza mume atagharamia gharama zote za mke wake wakiwa kwenye ndoa au wakiwa wametengana . Ila haiongelei kumtaka mke kugharamia chochote . Yaani ukioa tu Mke anatakiwa agharamikiwe kila kitu na Mume hata kama mke anakipato kikubwa yaani sheria haijaweka hata option ya kuangalia kipato cha mke. Mzigo wote kaangushiwa Mume kisheria kabisa

Pia ikitokea ndoa imevunjika kama kuna mtoto chini ya miaka 18 mume peke yake ndio anatakiwa kumgharamikia huyo mtoto utafikiri kamzaa yeye mwenyewe. Hii nayo ni bila kuangalia tofauti ya kipato mzigo wote kaangushiwa mume kisheria

Aidha sheria pia inatamka kwamba endapo ndoa itavunjika lazima mtoto atunzwe na mama hata kama mtoto huyo hanyonyi.

Sasa na wewe nitajie kifungu chochote kwenye sheria ya ndoa ya Tanzania kinachombeba Mume.

Nimekuambatishia baadhi ya vifungu vunavyompendelea Mke kwenye ndoa na kumkandamiza Mume.
Mke anaruhusiwa kukopa kama tu mume kashindwa kutekeleza majukumu ya msingi. Umeshindwa kuprovide chakula au fees za watoto unataka familia yako ikale wapi?
Sidhani kama anaruhusiwa kukopa kwa mambo ambayo hayana msingi maana sio lazima ulipe mikopo yake ambayo haieleweki hata mahakama inaelewa.

Kuhusu kurithi mali yes mke anayo haki..imagine ameishi na wewe hapo miaka 30 sasa umekufa unataka akaanze maisha upya wapi?
Na pia mume anayo haki ya kurithi mali za mke wake (siku hizi baadhi ya wanawake wanapesa za maana za wewe mume kurithi.

Ila ukiacha yote hayo sijui mikopo sijui kifo kurithi mali zako...wote mkiwa wazima ndoa ni matesl kwa mke. Utumwa wa kiwango cha SGR ili tu kumfurahisha mwanaume.
 
Mimi sijaoa ili nikiwaza aya mambo yanayo tokea kwa wenzangu, moyo unakufa ganzi kuoa yule binti.
Hata mie aisee daah, sidhani ka ntakujaga kuoa [emoji23][emoji23] kichwa yangu ina mambo mengi sana ya kufanya napata moto leo hii niingie kwenye gereza la kunipa stress tena...
 
Kumbe tatizo ni wewe halafu sisi tunamlaumu Binti wa watu,
Mkeo kaona hawezi kufanya maisha na mtu aliyetawaliwa na ulevi na kusahau majukumu yake na future ya maisha yake/Maisha yenu,

Kwa kesi hii nipo upande wa mkeo coz siamini kama umebadilika,
Mpe talaka Binti wa watu kisha wewe tafuta mlevi mwenzako umuoe,mtaendana vizuri sana,siku zingine mtakua mnaamua tu kama mlale Kilabuni au mrudi home.
Ushauri mzuri sana. Ndege wafananao huruka pamoja
 
Utateseka sana,
MPE TALAKA yake..
Mwanamke akidai talaka usimcheleweshe piga straight red card
 
Back
Top Bottom