Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

Pole sana kiongozi, hii taasisi ni ngumu mno na ku-survive inahitaji uvumilivu na upendo mwingi pia. Kama mke anasisitiza apewe talaka yake bila kutoa sababu hapo sababu itakuwa ni kuna mwamba mwingine ameanza kum-drive crazy kwahiyo wewe chakufanya hapo ni kumpa anachotaka
Na ukishampa usimtafute kabisa wala usijioneshe umeumia. Kuumia kupo lakini usitake kuonewa huruma. Vaa pendeza, kula ushibe endelea na kazi. Hata wakija wapelelezi kutaka kujua unaendeleaje, waikute furaha yako (jikaze) halafu baada ya miezi 6 rudi hapa utupe mrejesho.

Ukijifanya kumlilialilia sana atakuendesha sana
 
M
Shida hasa ilikuwa pombe kiasi sikuwa nazingatia familia na hapo alikuwa mkoa mwingine kikazi hii ilileta shida kiasi hta nikashindwa kuheshimu amana zake sababu kunq wakati alipata eneo shamba nimnunulie na alinitumia milioni moja lkn sikuitimiza hii ahadi na ulitokea mzozo wa kudai talaka pia lkn tulikaa na familia tukamaliza hili kwa kuahidi kumrejeshea kiasi chake.Wakati huo mimi ni misheni town tu yy ni mujiriwa familia ikashauri itabidi ukaungane na mwenzio pmj nilikubalina na wazo hili nikajichukulia hakiba yangu kwanza nikamlipa kiasi chake nikabaki km na m hv ukiondoa maswala ya nauli na mahitaj mengine nikabakiwa km na laki 7 hivi so toka nimefika huku ni mwezi wa 4 sasa vtu havijaenda vile inavyotakiwa au ilivyopngwa.
Wiki iliyopita Kuna kiasi chake km 200000 hiv niliichukua na kumuahidi ntamrejeshea jna lkn sikutimiza hii ahadi, mara ghafla naona usiku vilio nauliza nini tatzo majibu ndio km hayo
uMariooo mpaka kwenye ndoa?
Bora umpe talaka yake tu kwa sababu wewe ni mwanaume suruali.
 
Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.

Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.

Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!

Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Mkuu mpe talaka yake huwezi kuelewana nae Tena huyo.
 
Mkuu weka picha yake humu tukushauri vizuri. Inatisha hii mke kuomba talaka kwa kinywa chake. Inaonyesha amefikia ukomo wa kuwa na wewe ni hatari sana hii kwako. Kuna backup anayo mahali inampa jeuri.
 
Mpe karatasi yake
kapata mwingine
Mwanaume alisema yeye ndiye mkosaji japo sio usaliti....ila naamini ni usaliti tu tena wa ajabu kuwahi kutokea maana kama anamtuliza asimwambie mama ake ni jambo gani hilo
 
Yaani nawashangaa mnaokimbiliaga kushauri watu watengane sijui wakitengana mtaolewa nyie kucover hiyo nafasi
 
Shida hasa ilikuwa pombe kiasi sikuwa nazingatia familia na hapo alikuwa mkoa mwingine kikazi hii ilileta shida kiasi hta nikashindwa kuheshimu amana zake sababu kunq wakati alipata eneo shamba nimnunulie na alinitumia milioni moja lkn sikuitimiza hii ahadi na ulitokea mzozo wa kudai talaka pia lkn tulikaa na familia tukamaliza hili kwa kuahidi kumrejeshea kiasi chake.Wakati huo mimi ni misheni town tu yy ni mujiriwa familia ikashauri itabidi ukaungane na mwenzio pmj nilikubalina na wazo hili nikajichukulia hakiba yangu kwanza nikamlipa kiasi chake nikabaki km na m hv ukiondoa maswala ya nauli na mahitaj mengine nikabakiwa km na laki 7 hivi so toka nimefika huku ni mwezi wa 4 sasa vtu havijaenda vile inavyotakiwa au ilivyopngwa.
Wiki iliyopita Kuna kiasi chake km 200000 hiv niliichukua na kumuahidi ntamrejeshea jna lkn sikutimiza hii ahadi, mara ghafla naona usiku vilio nauliza nini tatzo majibu ndio km hayo
Hii sio ndoa mkuu, siwezi kukuambia achana naye ila ndoa yako inachangamoto,mwanamke hawezi nidai hela aliyonipa, believe me ,mke wangu ni mwajiriwa,nishatumia pesa zake sana na hawezi kuzigusia,achilia mbali kunidai,nishamwambia chochote kilicho ndani ya himaya ya familia hii ni Mali ya familia .

Kila siku Huwa nawabia workmate wenzangu,mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana, mwanamke akipata pesa kumliko mwanamume,ndoa lazima Iyumbe kutokana na ubinafsi wa mwanamke.lakini mwanamume akipata pesa ndoa inazidi kupata amani hii ni kutokana na tabia ya sisi wanaume kuwa social sana.hatuna choyo.
 
Mi naona mawili eidha umeingia kwenye ndoa Kwa kufata mkumbo (bila kujipanga) au Kwa kufata Hela zake, na ss unaona akiondoka umekwisha!
2. Kwenye kutafuta Bado wewe mtoto wa mama Kwa maana unapenda bata ila kutafuta aah,
Ushauri potea hapo nyumbani bila kuaga nenda kaumie Rudi na kibunda talaka usitoe,
Hata ukikuta kachukuliwa powa tu, kuliko hapo unavyojishusha kwake, unazidi kujichoresha,
Eti mnaitisha kikao Cha familia eti umekula milioni ya mkeo😅😅 si kujichoresha??embu amka man, pumzika pombe hata Kwa muda potea katafute Hela kama ni wako ni wako tu,
Huyo kashaanza kukupanda kichwani kama hujui
 
Mrejesho wakuu

Baada ya kutafakari kwa kina hali ninayopitia na kujumlisha maoni na ushauri wa wengi,niliamua kuzingatia baadhi ya maoni na ushauri huo. Japo binafsi nilitamani kuona ndoa ynagu inaendelea lkn si kuilazimisha kubaki

Maamuzi yangu sasa ni kwamba nimeamua kuondoka na kumuacha mke wangu na km alivyodai kabla sijaondoka lazima niwe nimempa talaka yake nilianza kuchukua hatua.

Siku ya jna nilianza rasmi mchakato wa talaka kwa hatua zote za awali na muhimu yy akiwa kazini.Hta hvyo baada ya kurejea na kumjulisha hatua niliyofikia kuhusu ombi lake,alikataa kulipokea, hili licha ya kuwa yeye ndio alitaka nimpe talaka yake kabla sijaondoka km alivyodai.

Kwa ufupi niko safarini na hali yngu ni ngumu lkn imebidi nikubali matokeo kwa maoni na ushauri wa wengi. Kuhusu yy nimtaarifu tu muda wowote akihitaji talaka yake atanijulisha
 
Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.

Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.

Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!

Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Pole sana ila umpe anachotaka
 
Mkuu weka picha yake humu tukushauri vizuri. Inatisha hii mke kuomba talaka kwa kinywa chake. Inaonyesha amefikia ukomo wa kuwa na wewe ni hatari sana hii kwako. Kuna backup anayo mahali inampa jeuri.
Yaani shida huwa ni mwanamke tu?

Jamaa kaandika hapo hana kipato na anatumia hela za mwanamke plus pombe, nani anataka shida kama hiyo?
 
Mrejesho wakuu

Baada ya kutafakari kwa kina hali ninayopitia na kujumlisha maoni na ushauri wa wengi,niliamua kuzingatia baadhi ya maoni na ushauri huo. Japo binafsi nilitamani kuona ndoa ynagu inaendelea lkn si kuilazimisha kubaki

Maamuzi yangu sasa ni kwamba nimeamua kuondoka na kumuacha mke wangu na km alivyodai kabla sijaondoka lazima niwe nimempa talaka yake nilianza kuchukua hatua.

Siku ya jna nilianza rasmi mchakato wa talaka kwa hatua zote za awali na muhimu yy akiwa kazini.Hta hvyo baada ya kurejea na kumjulisha hatua niliyofikia kuhusu ombi lake,alikataa kulipokea, hili licha ya kuwa yeye ndio alitaka nimpe talaka yake kabla sijaondoka km alivyodai.

Kwa ufupi niko safarini na hali yngu ni ngumu lkn imebidi nikubali matokeo kwa maoni na ushauri wa wengi. Kuhusu yy nimtaarifu tu muda wowote akihitaji talaka yake atanijulisha
Na ukabeba maoni ya wanaJf 😅😅

Katafute hela huko
Mxiiiew
 
Back
Top Bottom