Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

Mpe anachotaka.. Ukikomaa naye atakupiga matukio
Tayari Yuko replaced yeye amoe talaka mambo yaishe , ukiona mwanamke anasema tuachane, Mimi nimechoka na hiki au kile , tayari kwako alishahama, ni either umuache chap , au uendelee Tu kumsumbua na kumuachia kumbukumbu atakazo kumbuka kua kulikua na muhuni
 
Shida hasa ilikuwa pombe kiasi sikuwa nazingatia familia na hapo alikuwa mkoa mwingine kikazi hii ilileta shida kiasi hta nikashindwa kuheshimu amana zake sababu kunq wakati alipata eneo shamba nimnunulie na alinitumia milioni moja lkn sikuitimiza hii ahadi na ulitokea mzozo wa kudai talaka pia lkn tulikaa na familia tukamaliza hili kwa kuahidi kumrejeshea kiasi chake.Wakati huo mimi ni misheni town tu yy ni mujiriwa familia ikashauri itabidi ukaungane na mwenzio pmj nilikubalina na wazo hili nikajichukulia hakiba yangu kwanza nikamlipa kiasi chake nikabaki km na m hv ukiondoa maswala ya nauli na mahitaj mengine nikabakiwa km na laki 7 hivi so toka nimefika huku ni mwezi wa 4 sasa vtu havijaenda vile inavyotakiwa au ilivyopngwa.
Wiki iliyopita Kuna kiasi chake km 200000 hiv niliichukua na kumuahidi ntamrejeshea jna lkn sikutimiza hii ahadi, mara ghafla naona usiku vilio nauliza nini tatzo majibu ndio km hayo
Mkuu, hapa bila shaka huyu mwanamke wakati unamuoa ulimficha uhalisia wa maisha yako.

Inawezekana ulimuonesha maisha yasiyo halisi, alikubali kuolewa na wewe akijua uko viwango fulani kumbe haikuwa hivyo.

Kama ulimficha mkuu, hapa kubali ulijichanganya, na kama umemuoa mtu ambaye ni emotionally weak hawezi kukuvumilia.

Nasema ivo kwa sababu kama angekuwa anajua aina ya maisha yako, naamini isingemtesa kiasi hiki.

Hivyo kubali yaishe, wewe ni mwanaume, hebu jitafute kwanza.

Na kama unaoa basi oa mwanamke ambaye yuko ndani ya standard yako. Kumbuka kuna wanaume na wanawake wa kila standard. Kuna wanawake wanaweza kuishi vzr tu na ww hata kama mnalala njaa.
 
Shida hasa ilikuwa pombe kiasi sikuwa nazingatia familia na hapo alikuwa mkoa mwingine kikazi hii ilileta shida kiasi hta nikashindwa kuheshimu amana zake sababu kunq wakati alipata eneo shamba nimnunulie na alinitumia milioni moja lkn sikuitimiza hii ahadi na ulitokea mzozo wa kudai talaka pia lkn tulikaa na familia tukamaliza hili kwa kuahidi kumrejeshea kiasi chake.Wakati huo mimi ni misheni town tu yy ni mujiriwa familia ikashauri itabidi ukaungane na mwenzio pmj nilikubalina na wazo hili nikajichukulia hakiba yangu kwanza nikamlipa kiasi chake nikabaki km na m hv ukiondoa maswala ya nauli na mahitaj mengine nikabakiwa km na laki 7 hivi so toka nimefika huku ni mwezi wa 4 sasa vtu havijaenda vile inavyotakiwa au ilivyopngwa.
Wiki iliyopita Kuna kiasi chake km 200000 hiv niliichukua na kumuahidi ntamrejeshea jna lkn sikutimiza hii ahadi, mara ghafla naona usiku vilio nauliza nini tatzo majibu ndio km hayo
Huyu keshakuona huna future aisee! Kifupi umeshashindwa kuishi naye kwa akili.
Anahitaji ushauri wa kisaikolojia kwa maana kashakujengea Imani tofauti, Kila akikuona au akikumbuka ni kama anajisikia majuto Fulani.
 
Kuhamia kwa mwanamke ni kosa kubwa
Kwa mazingira yalivyokuwa ilibidi huyu bwana afanye hivi, jamaa anampenda mkewe. Alikuwa mji mwingine na akala hela ya maendeleo ya familia, ikabidi kuokoa ndoa ahamie mji aliko mke akifanya kazi, ajaribu bahati huko, kufika huko akakopa tena mke, akashindwa kurudisha kwa wakati. Mke kalala usiku kaamka analia anataka talaka. Mara anapiga simu kwa mama yake.
Kifupi jamaa yuko katika hali ngumu sana.
 
Shida hasa ilikuwa pombe kiasi sikuwa nazingatia familia na hapo alikuwa mkoa mwingine kikazi hii ilileta shida kiasi hta nikashindwa kuheshimu amana zake sababu kunq wakati alipata eneo shamba nimnunulie na alinitumia milioni moja lkn sikuitimiza hii ahadi na ulitokea mzozo wa kudai talaka pia lkn tulikaa na familia tukamaliza hili kwa kuahidi kumrejeshea kiasi chake.Wakati huo mimi ni misheni town tu yy ni mujiriwa familia ikashauri itabidi ukaungane na mwenzio pmj nilikubalina na wazo hili nikajichukulia hakiba yangu kwanza nikamlipa kiasi chake nikabaki km na m hv ukiondoa maswala ya nauli na mahitaj mengine nikabakiwa km na laki 7 hivi so toka nimefika huku ni mwezi wa 4 sasa vtu havijaenda vile inavyotakiwa au ilivyopngwa.
Wiki iliyopita Kuna kiasi chake km 200000 hiv niliichukua na kumuahidi ntamrejeshea jna lkn sikutimiza hii ahadi, mara ghafla naona usiku vilio nauliza nini tatzo majibu ndio km hayo
Pole sana, shida ni wewe wala sio mkeo.
Wanawake wa sasa wapo strategic sana, akiona upo tu huna future anakutupa kule, sqsa wewe ni mtu wa pombe mda wote, hujali familia hata kwa sabuni na sukari, unachukua pesa za mke unafuja, unategemea huyo mwanamke atakuvumilia?

Pole sana!!
 
Shida hasa ilikuwa pombe kiasi sikuwa nazingatia familia na hapo alikuwa mkoa mwingine kikazi hii ilileta shida kiasi hta nikashindwa kuheshimu amana zake sababu kunq wakati alipata eneo shamba nimnunulie na alinitumia milioni moja lkn sikuitimiza hii ahadi na ulitokea mzozo wa kudai talaka pia lkn tulikaa na familia tukamaliza hili kwa kuahidi kumrejeshea kiasi chake.Wakati huo mimi ni misheni town tu yy ni mujiriwa familia ikashauri itabidi ukaungane na mwenzio pmj nilikubalina na wazo hili nikajichukulia hakiba yangu kwanza nikamlipa kiasi chake nikabaki km na m hv ukiondoa maswala ya nauli na mahitaj mengine nikabakiwa km na laki 7 hivi so toka nimefika huku ni mwezi wa 4 sasa vtu havijaenda vile inavyotakiwa au ilivyopngwa.
Wiki iliyopita Kuna kiasi chake km 200000 hiv niliichukua na kumuahidi ntamrejeshea jna lkn sikutimiza hii ahadi, mara ghafla naona usiku vilio nauliza nini tatzo majibu ndio km hayo
Kumbe unachukua pesa za mwenzio unalewea?!! Pumbavu kweli.

Mpe talaka haraka Wewe endelea kushinda vilabuni kiongozi..!!
 
Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.

Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.

Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!

Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Ameshaamua kukuacha,achana naye,atakuuwa
 
Muda utakao mpa nafasi na kusafiri ndio atakapo kucheat. Achana na mambo ya kizungu hayo ya kupeana space. Kaeni mzungumze mmalize tofauti zenu.
 
Wakuu maoni ni mengi yakiambatana na ushauri mwingi tu wenye busara na wakiutu uzima na kujenga pia wazee wa kejeli dharau ushauri wenu nimeupokea bila kusahau wako waliousoma vzuri ujumbe wangu wako waliosoma juu juu na ndio maana maoni na ushauri haikuwa ajabu kupishana ila yote kwa yote mrejesho utakuwa hapa wakati wowote kwa kila hatua ambayo ntafikia. Mpaka muda huu sipo upande wa kutoa talaka bado nipo upande wa kujaribu kuikoa ndoa yangu tu ila ikishindikana sasa sitalazimisha
 
Mpaka mwanamke anadai talaka ujue moyoni mwake alikuacha siku nyingi sana. Familia yako unaipenda ila kuwa na balls Chief,mpe anachotaka aende zake. Utakuja kuumizwa mpaka ushangae kama bado una ng'ang'ania abaki kwenye ndoa na wewe .
 
Kuna kitu hakipo sawa kwako wewe Mwanaume mwenzangu.Hebu funguka yote Ili tukushauri na uweze kufahamu namna ya kutatua changamoto inayokukabiri.Mwanamke Huwa anahifadhi maumivu mengi ya muda mrefu na siku akichoka daima Huwa hakuna dawa ushauri wangu kwako ni maumivu ila mwache aende. Pole sana.
 
Shida hasa ilikuwa pombe kiasi sikuwa nazingatia familia na hapo alikuwa mkoa mwingine kikazi hii ilileta shida kiasi hta nikashindwa kuheshimu amana zake sababu kunq wakati alipata eneo shamba nimnunulie na alinitumia milioni moja lkn sikuitimiza hii ahadi na ulitokea mzozo wa kudai talaka pia lkn tulikaa na familia tukamaliza hili kwa kuahidi kumrejeshea kiasi chake.Wakati huo mimi ni misheni town tu yy ni mujiriwa familia ikashauri itabidi ukaungane na mwenzio pmj nilikubalina na wazo hili nikajichukulia hakiba yangu kwanza nikamlipa kiasi chake nikabaki km na m hv ukiondoa maswala ya nauli na mahitaj mengine nikabakiwa km na laki 7 hivi so toka nimefika huku ni mwezi wa 4 sasa vtu havijaenda vile inavyotakiwa au ilivyopngwa.
Wiki iliyopita Kuna kiasi chake km 200000 hiv niliichukua na kumuahidi ntamrejeshea jna lkn sikutimiza hii ahadi, mara ghafla naona usiku vilio nauliza nini tatzo majibu ndio km hayo
Huyo amekuchoka achana nae halafu bado unajitafuta na yeye tayari ana ajira so ataanza kukuletea dharau,mpe talaka yake usepe sababu unaishi kwake
 
Back
Top Bottom