Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

Huu ufa kwenye hii ndoa unazibika?

Pole sana Mkuu.

Hali ambayo amefikia ni mbaya sana, na hii ni mbaya zaidi upande wake, kwa afya yako ya mwili na akili na future yako.

Sikiliza brother, vitabu vya dini havijakosea kutuandikia wanaume mashuhuri kama Adam, Suleiman, Samson n.k walianguka kupitia wanawake. It was really.

Kadri unavyojaribu kumtuliza, hapo ndipo unamwaga petrol ktk moto. Akili yako inakutuma unaweza zuia isitokee kuachana ila kiuhalisia hapo ni unazidi kumchochea akuache na asitake kabisa kuendelea na wewe.

Kama anahitaji talaka maana yake hataki tena penzi lako, hata akilala na wewe ni kujilazimisha tu, hakupendi tena, hisia zipo kwa mwingine. Yupo tayari aishi na mwingine ila sio wewe. Haya ni maneno magumu sana ila yanaweza yakawa na ukweli.

Usiwe mpumbavu, kwa unyenyekevu na kwa akili, mruhusu aende. ATAKUUA HUYO kama sio kukuvurugia maisha yako yote au huko mbeleni utakuja kujutia kwa kumng'ang'ania. Mpe anachohitaji na akianza kuona anajirudi usitishe usirudi nyuma, kazania msimamo wa talaka, itoe. Akienda huko anapotaka kwenda atarudi tena tu kwako, usijaribu kumpa nafasi ya pili, achana nae moja kwa moja.
 
Asubuhi hii yote tuna anza na kesi za ndoa!!! Pesa tutatafuta saa ngapi? Au wenzetu wajumbe mmeshavuta kwa wagombea!!?
😂😂😂
Tutafute pesa wandungu!! Hata kwenye ndoa mwanamke mpe pesa kuliko anazohitaji utashangaa kilasiku anasema amekumis!! Jombaa mpe mkeo pesa zaidi!! Mke nae huhongwa namumewe ndani ya ndoa ili mambo yaende!!
😂
Tutafute njululu!! Mapema sana ndo wiki inaanza.
 
Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.

Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.

Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!

Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Mkuu nipo kwenye NDOA ila mwanamke akifikia hyo steji aise mpe anacho taka ,UNAJUA nin kinakuja next NI kukuwekea sumu ama atafute njia nyingine ya kukumaliza so be careful brother mpe ......
 
Shida hasa ilikuwa pombe kiasi sikuwa nazingatia familia na hapo alikuwa mkoa mwingine kikazi hii ilileta shida kiasi hta nikashindwa kuheshimu amana zake sababu kunq wakati alipata eneo shamba nimnunulie na alinitumia milioni moja lkn sikuitimiza hii ahadi na ulitokea mzozo wa kudai talaka pia lkn tulikaa na familia tukamaliza hili kwa kuahidi kumrejeshea kiasi chake.Wakati huo mimi ni misheni town tu yy ni mujiriwa familia ikashauri itabidi ukaungane na mwenzio pmj nilikubalina na wazo hili nikajichukulia hakiba yangu kwanza nikamlipa kiasi chake nikabaki km na m hv ukiondoa maswala ya nauli na mahitaj mengine nikabakiwa km na laki 7 hivi so toka nimefika huku ni mwezi wa 4 sasa vtu havijaenda vile inavyotakiwa au ilivyopngwa.
Wiki iliyopita Kuna kiasi chake km 200000 hiv niliichukua na kumuahidi ntamrejeshea jna lkn sikutimiza hii ahadi, mara ghafla naona usiku vilio nauliza nini tatzo majibu ndio km hayo
Kumbe tatizo ni wewe halafu sisi tunamlaumu Binti wa watu,
Mkeo kaona hawezi kufanya maisha na mtu aliyetawaliwa na ulevi na kusahau majukumu yake na future ya maisha yake/Maisha yenu,

Kwa kesi hii nipo upande wa mkeo coz siamini kama umebadilika,
Mpe talaka Binti wa watu kisha wewe tafuta mlevi mwenzako umuoe,mtaendana vizuri sana,siku zingine mtakua mnaamua tu kama mlale Kilabuni au mrudi home.
 
Ingawa unasema chanzo cha matatizo si usaliti, bado ni muhimu kukubali kwamba kuna jambo lililomuumiza sana kiasi cha kusema hana furaha tena. Inawezekana ni mkusanyiko wa mambo, au namna ambavyo matatizo yenu hayajapata suluhisho la kudumu. Hivyo:

Usiingie kwenye kujitetea sana kwa sasa.

Mpe nafasi ya kueleza hisia zake — bila hukumu wala kuingilia.

Mweleze kwamba unathamini ndoa yenu, na upo tayari kufanyia kazi matatizo hayo, bila kushinikiza.

Ingawa umejaribu kumpa nafasi kwa kusafiri, tambua kwamba anaweza kuchukulia kama unamtoroka au unakata tamaa.
Uko sahihi mkuu na sababu inayonifanya nakuwa na ugumu kwenye kuamua pmj na kuwa mimi ndio tatizo ni aina ya mwanamke niliyenaye hakika ni mtu sahihi sijawahi kunusa usaliti kwake wa mapenzi yake kwangu hayajawahi kuwa na kipimo kubwa zaidi ana khofu ya Mungu
 
Shida hasa ilikuwa pombe kiasi sikuwa nazingatia familia na hapo alikuwa mkoa mwingine kikazi hii ilileta shida kiasi hta nikashindwa kuheshimu amana zake sababu kunq wakati alipata eneo shamba nimnunulie na alinitumia milioni moja lkn sikuitimiza hii ahadi na ulitokea mzozo wa kudai talaka pia lkn tulikaa na familia tukamaliza hili kwa kuahidi kumrejeshea kiasi chake.Wakati huo mimi ni misheni town tu yy ni mujiriwa familia ikashauri itabidi ukaungane na mwenzio pmj nilikubalina na wazo hili nikajichukulia hakiba yangu kwanza nikamlipa kiasi chake nikabaki km na m hv ukiondoa maswala ya nauli na mahitaj mengine nikabakiwa km na laki 7 hivi so toka nimefika huku ni mwezi wa 4 sasa vtu havijaenda vile inavyotakiwa au ilivyopngwa.
Wiki iliyopita Kuna kiasi chake km 200000 hiv niliichukua na kumuahidi ntamrejeshea jna lkn sikutimiza hii ahadi, mara ghafla naona usiku vilio nauliza nini tatzo majibu ndio km hayo
Ndugu mpe talaka , kama yeye ni muajiriwa wewe mambo hayaeleweki.
Achana nae .
usimtese binti wa watu na wewe usijitese
 
Kumbe tatizo ni wewe halafu sisi tunamlaumu Binti wa watu,
Mkeo kaona hawezi kufanya maisha na mtu aliyetawaliwa na ulevi na kusahau majukumu yake na future ya maisha yake/Maisha yenu,

Kwa kesi hii nipo upande wa mkeo coz siamini kama umebadilika,
Mpe talaka Binti wa watu kisha wewe tafuta mlevi mwenzako umuoe,mtaendana vizuri sana,siku zingine mtakua mnaamua tu kama mlale Kilabuni au mrudi home.
Nilimuahidi kubadilika kwenye hili kwa ahadi kuwa km itajirudia basi ntampa talaka yake lkn hili halijawahi kujirudia na niko upande wake ila hili limekuja ghafla
 
Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.

Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.

Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!

Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Kwl hakuna wanaume kwa vijana wetu
 
Shida hasa ilikuwa pombe kiasi sikuwa nazingatia familia na hapo alikuwa mkoa mwingine kikazi hii ilileta shida kiasi hta nikashindwa kuheshimu amana zake sababu kunq wakati alipata eneo shamba nimnunulie na alinitumia milioni moja lkn sikuitimiza hii ahadi na ulitokea mzozo wa kudai talaka pia lkn tulikaa na familia tukamaliza hili kwa kuahidi kumrejeshea kiasi chake.Wakati huo mimi ni misheni town tu yy ni mujiriwa familia ikashauri itabidi ukaungane na mwenzio pmj nilikubalina na wazo hili nikajichukulia hakiba yangu kwanza nikamlipa kiasi chake nikabaki km na m hv ukiondoa maswala ya nauli na mahitaj mengine nikabakiwa km na laki 7 hivi so toka nimefika huku ni mwezi wa 4 sasa vtu havijaenda vile inavyotakiwa au ilivyopngwa.
Wiki iliyopita Kuna kiasi chake km 200000 hiv niliichukua na kumuahidi ntamrejeshea jna lkn sikutimiza hii ahadi, mara ghafla naona usiku vilio nauliza nini tatzo majibu ndio km hayo
Kumbe shida uchumi anaona kama anakulea Mungu ata
Uko sahihi mkuu na sababu inayonifanya nakuwa na ugumu kwenye kuamua pmj na kuwa mimi ndio tatizo ni aina ya mwanamke niliyenaye hakika ni mtu sahihi sijawahi kunusa usaliti kwake wa mapenzi yake kwangu hayajawahi kuwa na kipimo kubwa zaidi ana khofu ya Mungu
Badilika jisahihishe mtulizane
 
idadi ya wanawake ulimwenguni imekuwa kubwa sana kiasi kwamba, kila mwanamme mmoja anaweza kuoa wake 10 na bado wanawake watakuwepo so, mwanaume usiumize kichwa kwa mwanamke mmoja na bado wapo 9 wa kwako. Mwanamke akileta za kuleta chukua chuma mpya, sisi ndo tunatongoza sio wao. Ushauri wangu kwako, muambie kabisa ukiondoka usirudi maana utakuta chuma mpya ndani. Jambo lingine mwanamke akiomba talaka mwenyewe huna pingamizi ya kuoa mwingine.
 
Shida hasa ilikuwa pombe kiasi sikuwa nazingatia familia na hapo alikuwa mkoa mwingine kikazi hii ilileta shida kiasi hta nikashindwa kuheshimu amana zake sababu kunq wakati alipata eneo shamba nimnunulie na alinitumia milioni moja lkn sikuitimiza hii ahadi na ulitokea mzozo wa kudai talaka pia lkn tulikaa na familia tukamaliza hili kwa kuahidi kumrejeshea kiasi chake.Wakati huo mimi ni misheni town tu yy ni mujiriwa familia ikashauri itabidi ukaungane na mwenzio pmj nilikubalina na wazo hili nikajichukulia hakiba yangu kwanza nikamlipa kiasi chake nikabaki km na m hv ukiondoa maswala ya nauli na mahitaj mengine nikabakiwa km na laki 7 hivi so toka nimefika huku ni mwezi wa 4 sasa vtu havijaenda vile inavyotakiwa au ilivyopngwa.
Wiki iliyopita Kuna kiasi chake km 200000 hiv niliichukua na kumuahidi ntamrejeshea jna lkn sikutimiza hii ahadi, mara ghafla naona usiku vilio nauliza nini tatzo majibu ndio km hayo
Mwanetu wewe husaidiki unakula hadi hela ya maendeleo ya familia yako? We hushindwi kula ada ya wanao mkeo kaona mbali humfai 🤣🤣
 
Kunaa tatizo mahali,nikitu gani ulimkosea tujue....au kuna nini nyuma ya panzia,ambacho ameshindwa kukusamehe na hutaki aseme kwa mama yake..kuwa muwazi upate msaada
 
Back
Top Bottom