Ugumu unatokea wapi??kataa ndoa kaka yanguUMesomeka kiongozi nashukuru pia japo jambo hili kwangu ni gumu
Ugumu unatokea wapi??kataa ndoa kaka yanguUMesomeka kiongozi nashukuru pia japo jambo hili kwangu ni gumu
Mm nilifanya hivyo.sikuona sababu ya kusumbuana na mjinga badae nimdhuru au anidhuru. Nikamwambia anaweza kwendaPole sana, lakini usimlazimishe kubaki kama hataki tena ndoa mruhusu aende
Unashindwa nini kumuacha?Sijazaa nae na nina mwaka nae
Kumbe we ni mjinga hivi. Huyo mwanamke no wonder hajabeba mimba yako mpka sasaSio rahisi kihivyo wanawake wengine ni mgodi unaotembea. Unakuta mwanamke ni mchapakazi, anakupa heshima ya mume, hana makorokoro ya kando, mzuri na mtamu, hana tabia ya kuomba pesa hovyo anasolve mambo yake. Halafu wewe unakuwa mlevi pesa yake ya malengo unapigia liquor. Akikuambia anataka kusepa lazima kichwa kiwake moto
Kabisa, inasaidia kuepusha na mambo mengiMm nilifanya hivyo.sikuona sababu ya kusumbuana na mjinga badae nimdhuru au anidhuru. Nikamwambia anaweza kwenda
😅😅😅😅kwanini mnakimbilia kuoa kabla hamjajipanga?unajua hata hajazaa na wewe kwasababu anajizuia huku akiusoma mchezo wa pesa unaendaje?Shida hasa ilikuwa pombe kiasi sikuwa nazingatia familia na hapo alikuwa mkoa mwingine kikazi hii ilileta shida kiasi hta nikashindwa kuheshimu amana zake sababu kunq wakati alipata eneo shamba nimnunulie na alinitumia milioni moja lkn sikuitimiza hii ahadi na ulitokea mzozo wa kudai talaka pia lkn tulikaa na familia tukamaliza hili kwa kuahidi kumrejeshea kiasi chake.Wakati huo mimi ni misheni town tu yy ni mujiriwa familia ikashauri itabidi ukaungane na mwenzio pmj nilikubalina na wazo hili nikajichukulia hakiba yangu kwanza nikamlipa kiasi chake nikabaki km na m hv ukiondoa maswala ya nauli na mahitaj mengine nikabakiwa km na laki 7 hivi so toka nimefika huku ni mwezi wa 4 sasa vtu havijaenda vile inavyotakiwa au ilivyopngwa.
Wiki iliyopita Kuna kiasi chake km 200000 hiv niliichukua na kumuahidi ntamrejeshea jna lkn sikutimiza hii ahadi, mara ghafla naona usiku vilio nauliza nini tatzo majibu ndio km hayo
Wengine ni ulimbukeni wa mapenziNamuhurumia sanaaaaa. Kama mtu hujazaa nae, tena mna mwaka mmoja tu, kipi cha kukufanya umgande?? Au jamaa ni mlemavu ?au jamaa ni shoga? Au jamaa hana maisha nje ya huyo mwanamke?
Mbona anayataka matatizo kwa nguvu namna hii?
Naona umeamua kunipa ushauri kijana, sio mimi. Nimeandika kutokana na sababu aliyotoa mtoa post. Nimemuelewa. Kiuhalisia kazinguaKuna makosa umefanya then, mbona hujayasema ? Hakuna mwanamke anayetaka talaka asiye na mwanaume, elewa Hilo Kijana, narudia elewa Hilo Kijana, Hakuna mwanamke anayetaka kuondoka kwa mwanaume ili aende kutafuta mwanaume!
Endelea kulazimisha, utaondoka hapo kwa usaliti, eti mtamu? Pumbavu kabisa
Ni kweli kabisa. Ili apate ushauri wenye msaada hapa, kama ameona ndio sehem sahihi. Basi anapaswa kuweka wazi jambo lake pasina kificha. Inaonekana kuna sababu, inayomfanya mke wake anabadilika.Shida ni nini hasa?
Funguka chanzo hasa cha tatizo ili upate ushauri wa kweli!
Mbona mnanitag mimi 🤣🤣Kumbe we ni mjinga hivi. Huyo mwanamke no wonder hajabeba mimba yako mpka sasa
Mkishasavuruga wake zenu vya kutosha, wakachoka, mnakimbilia kuwasingizia mengine.Kama mke anasisitiza apewe talaka yake bila kutoa sababu hapo sababu itakuwa ni kuna mwamba mwingine ameanza kum-drive crazy kwahiyo wewe chakufanya hapo ni kumpa anachotaka
Wapo watu watakulaumu sana. Wapo wengine hawatakuelewa kabisa. Ila amani ya moyo wako ni kitu muhimu kuliko vyote hapa duniani. Utajikuta unakuwa na amani sana baada ya kuachana na mtu mjingaKabisa, inasaidia kuepusha na mambo mengi
Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.
Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.
Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!
Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
TOA TALAKA MZEE,YAJAYO YANAHUZUNISHA KAMA UKIMNG'ANG'ANIAFuraha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.
Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.
Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!
Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Pole mkuu, sinauzoefu na ndoa ila nina uzoefu na wanawake. Kwa jinsi ulivyoandika inaonesha anakutikisa na unatikisika na hicho ndio kitu anataka. Mwanamke anahitaji balance tu, upendo nakumsikiliza kidogo, mikwara na ubandidu kidogo ndio mnsonga. Kitendo cha yy kuomba talaka na wewe kuonesha haupo tayari kumpatia ndio exactly anachokitaka kukiona, ataendelea kusumbua hivyo hivyo huku wewe uiteseka na mawazo na wakati huo hata yeye anakua hajui anataka nini. Mkuu ulimuonesha upo tayari kumpa talaka nahuogopi kumpoteza kuna nidham flani utaiona kwake. Anaweza kukomaa hivyohivyo kuidai ila kuna utofauti utauona. Siku ukiitoa anaweza kulia yeye kwasababu inawezekana anaidai ila hata hamaanishi ni ujinga ujinga tu wa kukujaribu, kukusumbua a justify anachokiwaza.Furaha haipo tena wakuu nimedaiwa talaka na mke wangu usiku wa kuamkia leo, mimi mke bado namuhitaji. Chanzo cha yote(tatizo) ni mimi haihusiani na usaliti na tulishakaa vikao na familia tukayamaliza lkn mara zote toka hapo haijawahi kuisha wiki bila kununiana furaha siku 3 nne zillizobaki ni sintofahamu pamoja na kuwa anatimiza majukumu yake yote kama mke.
Usiku wa kuamkia leo baada ya kuniomba talaka yake alimpigia mama yake simu by 7 kasoro usiku kumueleza kuwa hana furaha tena! mama alikuwa na hamu ya kujua nini tatizo lkn binti alisisitiza siioni ndoa yangu tena na kukata simu ila kabla ya kukata alimuahidi kesho ntakuambia kila kitu.
Kwa hili sikuwa na namna sababu nilisharuhusu simu kupigwa japo baada ya kupiga simu nilimuomba usizungumze chochote na mama yako kuhusu hili wewe utajua namna ya kuongea ili kutuliza hali na ameniitikia kwa kunielewa, lkn sijui kichwani anawaza nini!
Nilimuahidi mimi pia nitazungumza na mama yake, jambo jingine nimemuomba nimuache peke yake kwanza nisafiri ili angalau upatikane muda wa utulivu kwanza lkn sio kumpa talaka.
Anaogopa kumpoteza, na hicho ndio kitu bibie anataka kuona. Wanapenda kumuona mwanaume ankosa maamuzi anabaki kumbembelezaMpe anachotaka.. Ukikomaa naye atakupiga matukio