Huu si upotevu wa fedha - Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuweka tangazo DSTV

tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
3,249
4,482
Kama Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inadai tumeshindwa kuendesha bandari, na hivyo DP World wanapewa waendeshe, kuna umuhimu gani wa TPA kuwa na tangazo DSTV, wakati hawana ufanisi na wanakwenda kuwaachia waarabu waendeshe?

Naona tangazo lake likiunguruma Dstv channel 223.
 
DPworld hawapewi bandari yote ni sehemu tu au 8% ya bandari yote. Kwa hiyo TPA bado wapo wapo sana.; na kwa hivyo, kwa wao, kujitangaza ni muhimu
 
DPworld hawapewi bandari yote ni sehemu tu au 8% ya bandari yote. Kwa hiyo TPA bado wapo wapo sana.; na kwa hivyo, kwa wao, kujitangaza ni muhimu
Subiri. Ukiwa kaburini ukiona watu wanacheza juu yako ujue wanakuuliza baba vipi ulifanayaje. Hapa ulipo wanapataka tukuhamishie wapi?
 
A
Subiri. Ukiwa kaburini ukiona watu wanacheza juu yako ujue wanakuuliza baba vipi ulifanayaje. Hapa ulipo wanapataka tukuhamishie wapi?
Aaa wapi, waniulize watanipata wapi. mimi nitakuwa zangu kwa Mungu nakula mema ya mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…