Huu ni utoto na ushamba. Hizi propaganda za uongo zinamsaidia nini Rais Samia?

SSH ameomba mabeberu wawe wanatimiza ahadi zao za misaada kwa "dona kantle"!Unatoa maoni gani?
Mtu aliekuibia vitu vyako vya ndani, ukimfata na kumuomba akurudishie hata cheti chako cha kuzaliwa au cha shule ambavyo ni muhimu zaidi katika maisha yako. Yule aliekuibia akisikiliza ombi lako na kukurudishia vile vyeti vyako alichokuibia, hapo kuna ubaya? Wazungu wametuibia toka enzi za ukoloni zaidi ya miaka 300 iliyopita. Sasa leo tukienda kuwaomba watupe kidogo kati ya vingi walivyotuibia kuna makosa?
 
BADO UNA HASIRA??? BASI NYAMAZA TOTO JINGA EEEHE ...UMESIKIA EEEHE? RAIS SAMIA ALISIFIWA NA WAZUNGU WA GAZETI THE SCOTSMAN LA TAREHE 1 NOVEMBER SISI TULIKUWA TUNATANIA TU, UMESIKIA MTOTO MZURI EEEHEEEE
 
Picha wasiyoipenda cdm
Hahaha.. kuna vijana humu wanalipwa ili kuendelea kutengeneza misukule ya kisiasa huku mitandaoni na mitaani. Sasa sisi tupo humu kwa ajili ya kuhakikisha misukule hiyo haipatikani humu mitandaoni wala mitaani. Enzi za kushikiwa akili na mwenyekiti wa chama fulan zimepitwa.
 
BADO UNA HASIRA??? BASI NYAMAZA TOTO JINGA EEEHE ...UMESIKIA EEEHE? RAIS SAMIA ALISIFIWA NA WAZUNGU WA GAZETI THE SCOTSMAN LA TAREHE 1 NOVEMBER SISI TULIKUWA TUNATANIA TU, UMESIKIA MTOTO MZURI EEEHEEEE
Mkuu vp mbona unajistukia. Hivi una muda gani hapa JF? Mbona unaonekana mshamba wa jukwaa hili. Yan ww unajua ukianzisha mada basi mtu yoyote atakae andika chochote anakuwa amekuandikia ww! Just imagine mi nikimjibu mtu mungine alieni quote mimi wewe unakimbilia kuniandikia. Hata aina ya muandiko wako unaonesha ww ni mgeni hapa JF na kuna mtu kakurushia na ww ukaikopi na kuitumia huku habari yako.
 
Duuh, wewe zimo kweli?

Gazeti edited liko umewekewa hapo kama kielelezo cha maelezo yake. Ina maana hujaliona na kuona makosa ya kisarufi ambayo wenye gazeti wenyewe hawawezi kufanya?

Kwani kila kitu lazima upinge tu? So mwisho wa siku utajipinga na kujikataa mwenyewe...?
Jina lenyewe Dudumiz, huyo ni dudumizi mpaka kichwani. Watu kama hao ni kuwapuuza tu. Akili ni kisoda. Wameingia kwenye jukwaa ambalo halikuwa lao.
 
Mkuu vp mbona unajistukia. Hivi una muda gani hapa JF? Mbona unaonekana mshamba wa jukwaa hili. Yan ww unajua ukianzisha mada basi mtu yoyote atakae andika chochote anakuwa amekuandikia ww! Just imagine mi nikimjibu mtu mungine alieni quote mimi wewe unakimbilia kuniandikia.
kweli mkuu uko very bright halafu inaonekana wewe ni mwandamizi kabisa hapa JF , ila ma chagadema yana wivu sana white house walilipia tangazo la Rais Samia likaruka siku nzima pale Times square wakadai ni fake jana tena wanadai kwamba gazeti la the Scotsman halikumsifia mpendwa Rais, kama siyo wivu nini? hawa lazima tu deal nao watakuwa wanatumwa na gaidi
 
Hahahaha.. haya mkuu nimekupata.
 
Hii nchi ina ujinga mkubwa hadi unakosa maelezo yakutosha kuuelezea.
 
Aliekutuma kakuingiza chaka dogo.. umeandika ujinga mtupu ambae hata yeye aliekutuma asingeweza kuja kuuandika hapa. Pole sana.
Tuletee kilicho sahihi. Au tuonyeshe makosa ya huyo unayesema ametumwa. Ameweka evidence ziko hapo, tupatie na wewe za kwako zilizosahihi tulinganishe na za huyo aliyetumwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom