Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,281
Hata kwenye kitabu cha Ruth, Ruthuu alifundishwa na mama mkwe wake Naomi kifanya ukahaba. Akienda kudanga kwa tajiri aitwae Boazi. Boazi akizimika kwa huyo mwanamke aitwae Ruthuu, mpaka akamuoa.
Ndie aliye mzaa Obeid baba yake Yese.
Yese alimzaa Daudi.
Utagundua kumbe ukoo wa akina Daudi umetokana na mwanamke wa Moabu ambaye akikuwa anadanga ili wapate chakula.
UDANGAJI ULIKUWEPO TANGU ZAMANI.
NA MUNGU HUPITISHA WATUMISHI WAKE KUPITIA UKOO WA WADANGAJI.
USIMCHEKE MWANAMKE KAHABA.
Una uthibitisho gani unaohalalalisha madai yako?Biblia ni kitabu cha kutungwa tu kama riwaya nyingine. Japo kina mafundisho mengi mazuri (kila riwaya ina mafundisho) lakini usiamini story zake sio za kweli.
Una uthibitisho gani usiohalalisha madai yangu?Una uthibitisho gani unaohalalalisha madai yako?
We ulijuaje kama vilitolewa ikiwa wewe haukuwepo kwenye hicho kikao kilichovihidhinisha hivyo vitabu au unatumia neno nilisikia na kusoma mahali?Vitabu vingi havipo kwenye Biblia vilitolewa
Jitambue ww mjinga mkubwa ww.....Heshimu maadiko ya MUNGUBiblia ni kitabu cha kutungwa tu kama riwaya nyingine. Japo kina mafundisho mengi mazuri (kila riwaya ina mafundisho) lakini usiamini story zake sio za kweli.
Nyuzi zingine aisee! Kwahyo mwanamke hana mikono na akili mpaka utuletee hilo hapa tukujibu?Salaam, katika Biblia ya kikatoliki, kuna kitabu cha Judith, huyu alikuwa msichana wa kiyahudi aliyejifanya kahaba ili anunuliwe na mfalme pinzani wa Israel, inasemekana aliponunuliwa akamkata kichwa mfalme akatoka nacho akiwa amekibeba juu juu, na vita ikaishia hapo(Israel ikapata ushindi).
Kina ukweli hiki? Mwanamke akate kichwa cha mtawala? Wajuzi njoeni
Ikiwa wote hatuna evidence kwann usifunge kinywa chako ili hilo suala liendelee kubaki kama lilivyo mpaka uthibitisho upatikane ndo uje uropoke kana kwamba unauhakika nalo.Una uthibitisho ganu usiohalalisha madai yangu?
Mimi sikukuomba uni quote ungeanza kufunga wewe kinywa chako pambaf.Ikiwa wote hatuna evidence kwann usifunge kinywa chako ili hilo suala liendelee kubaki kama lilivyo mpaka uthibitisho upatikane ndo uje uropoke kana kwamba unauhakika nalo.
sitaki kuongelea kitabu hicho, kwasababu ninyi wakatoliki kuna vitabu vingi tu mmevikubali ambavyo shetani alileta ili kupotosha ukweli. ila kwa habari ya spy wa kike au wanawake hodari wa vita, hata Debora kwenye agano la kale alimuua adui wa israel. sio kitu cha ajabu hicho.Salaam, katika Biblia ya kikatoliki, kuna kitabu cha Judith, huyu alikuwa msichana wa kiyahudi aliyejifanya kahaba ili anunuliwe na mfalme pinzani wa Israel, inasemekana aliponunuliwa akamkata kichwa mfalme akatoka nacho akiwa amekibeba juu juu, na vita ikaishia hapo(Israel ikapata ushindi).
Kina ukweli hiki? Mwanamke akate kichwa cha mtawala? Wajuzi njoeni
Acha kuvuta Bangi chooni Kama kiranga, Biblia ni neno la Mungu,na siyo Riwaya, Kama huamini,chukua Biblia uikojoloe au uichome moto uone Kama utaamka kesho yakeBiblia ni kitabu cha kutungwa tu kama riwaya nyingine. Japo kina mafundisho mengi mazuri (kila riwaya ina mafundisho) lakini usiamini story zake sio za kweli.
Sipendi mipasho. Hapa tunaongea kwa facts. Unataka nikuorodheshee wanawake waliokuwa kahaba kwenye bible.Acha kunena uongo maana imeandikwa Bwana hatamsamehe yeyote atakayegushi maandiko yake hivyo kuwa makini na unachokizungumza maana imani si siasa.
Kitabu gani ambacho siyo cha kutungwa!?Biblia ni kitabu cha kutungwa tu kama riwaya nyingine. Japo kina mafundisho mengi mazuri (kila riwaya ina mafundisho) lakini usiamini story zake sio za kweli.
👏👏Sis wanaume hatunaga ujanja kwa hawa wanawake sema tukiwepo vijiwen kwetu kila mtu ni mwamba kwa demu au mke wake.
My son. Drink some wine please. Water is full of bacteria.Acha kuvuta Bangi chooni Kama kiranga, Biblia ni neno la Mungu,na siyo Riwaya, Kama huamini,chukua Biblia uikojoloe au uichome moto uone Kama utaamka kesho yake