Beatus F.Utouh
Member
- Apr 21, 2011
- 13
- 0
Hivi jamani ni umri gani antakiwa mwanaume kuanza kujamiiana????
kwanza kabisa haulizi hilo swali.sasa utajuaje uko tayari????
Hivi jamani ni umri gani antakiwa mwanaume kuanza kujamiiana????
Duh! heri ya mwaka mpya sisita wangu lol!Ukifika darasa la 6 mtafundishwa, acha kiherehere!
Tena januari hii ndio anaingia std 6 sasa sijui haraka ya nini.Ukifika darasa la 6 mtafundishwa, acha kiherehere!
Miaka 40.
Akiwa tayari.
akiacha punyeto hasahasa ya kutumia nyoya la jogoo.