Umri unachosha

Umri unachosha

---

Senior Member
Joined
Aug 19, 2026
Posts
113
Reaction score
289
Wananzengo habarini za weekend. Nimekaaa nikatafakari namna jamii inavyotarajia tuishi tangu utotoni mpaka uzeeni, kwa maana ya kwamba kwenye kila hatua ya ukuaji wako kuna mambo unatarajiwa kufanya au kutofanya, kuwa nayo au kutokuwa nayo.

Kwafano mtu mzima anaweza kufanya kitu akaambiwa "ni utoto akikua attacha", hii ina maana kwamba mtu mzima hakosei au vipi?

Au nikifanya punyeto sasa hivi na umri huu wa miaka 31 ni sawa kwa maadili ya kitanzania au imekaaje!

Sasa naomba kuuliza kwa mazingira ya kitanzania upi ni umri ambao unakubalika ukifanya au kuwa na yafutayo ama ukifanya au kutofanya katika umri flani utaonekana kituko. Naomba nianze na haya;

-Umri wa kumaliza masomo
-Umri wa kuacha punyeto
-Umri wa kuanza kunywa pombe
-Umri wa kuwa na kipato cha uhakika
-Umri wa kuoa/kuolewa
-Umri wa kuzaa
-Umri wa kujenga nyumba yako
-Umri wa kumiliki ka-usafiri kako
-Umri wa kuacha kushabikia wanawake wenye matako mengi
-Umri wa kufa.
 
Kwani kuna fomula ya maisha? Bongo unaweza ukamaliza chuo na miaka 23 lakini ukapata kipato cha uhakika ukiwa na miaka 40 baada ya kupigika sana mtaani. Hivyo vitu havina umri.
Ni kweli mkuu, ila kuna hii tabia ya watu kuhusianisha maisha yako pamoja na mafanikio yako na umri wako. Au watu wanaanza kukulinganisha na age-mates wako nk.
 
Kwani kuna fomula ya maisha? Bongo unaweza ukamaliza chuo na miaka 23 lakini ukapata kipato cha uhakika ukiwa na miaka 40 baada ya kupigika sana mtaani. Hivyo vitu havina cha umri.
Tukiachana na elimu , mfano binti akizaa akiwa na miaka 15 sehemu kubwa ya jamii sikuhizi haitofurahia sana kitendo hicho kwa maana ya kwamba kuna umri ambao inakubalika akifanya hivyo. Sasa nataka nifahamu umri huo
 
Wananzengo habarini za weekend. Nimekaaa nikatafakari namna jamii inavyotarajia tuishi tangu utotoni mpaka uzeeni, kwa maana ya kwamba kwenye kila hatua ya ukuaji wako kuna mambo unatarajiwa kufanya au kutofanya, kuwa nayo au kutokuwa nayo.

Kwafano mtu mzima anaweza kufanya kitu akaambiwa "ni utoto akikua attacha", hii ina maana kwamba mtu mzima hakosei au vipi?

Au nikifanya punyeto sasa hivi na umri huu wa miaka 31 ni sawa kwa maadili ya kitanzania au imekaaje!

Sasa naomba kuuliza kwa mazingira ya kitanzania upi ni umri ambao unakubalika ukifanya au kuwa na yafutayo ama ukifanya au kutofanya katika umri flani utaonekana kituko. Naomba nianze na haya;

-Umri wa kumaliza masomo
-Umri wa kuacha punyeto
-Umri wa kuanza kunywa pombe
-Umri wa kuwa na kipato cha uhakika
-Umri wa kuoa/kuolewa
-Umri wa kuzaa
-Umri wa kujenga nyumba yako
-Umri wa kumiliki ka-usafiri kako
-Umri wa kuacha kushabikia wanawake wenye matako mengi
-Umri wa kufa.
Ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi. Hivi naomba nikuulize kaswali kadogo ili nijue namna nzuri zaidi ya kucoment kwenye mada yako nzuri hii.
Eti; umbo la Mduara (Circle) nyuzi 360 huwa linaanzia wapi?
 
Back
Top Bottom