Huu ni mtihani kwangu naomba ushauri

Huu ni mtihani kwangu naomba ushauri

Bora huyo anakuchangia anaetaka na ww uchangie kuna wengine ht wazo hawana wanapenda kupewa na wanawake
 
Ndio mzabzab ni mkaka wa pekee sana coz mara ya kwanza nilihisi ana matatizo labda?bt ukweli nilijikaza kumuuliza ,alinieleza kuwa na ndio sababu wanawake wengi wanaishia kulambwa tu then wanaachwa na akasema yy ni mzima na nathibisha huwa nikikaa nae kwa muda mood yake inabadilika ananifukuza et asije akatenda zambi

he keroro keroro keroro
 
Muache huyo katafte anaekupa kila kitu, I mean "unayeona" manoti noti yake.
 
hapana hatuishi pamoja,mara ya kwanza kila mtu alikuwa anaishi kwao lkn nilimshauri apange kabla ya kuanza kufikira mahali,na ni mtu wa kwanza kusaport tatizo ni kinyongo moyon cha kutoa mahela yangu wakati yy alitakiwa awe na vitu vyake sikukataa kununua na bado pango nimetoa nusu ya pesa but nilikuwa naumia why?ukweli sijawahi kugegenda na huyu mwanaume coz ameshika dini balaa lakin si kwamba sijawahi gegedwa nishakuwa na mtu before,nashukuru kwa kunifungua macho BILLGOG,ASANTE KWA USHAURI WAKO BIG UP NA MOYO WANGU UMETULIA

wewe demu mlalamishi sana, mbona mademu wenzio siku hizi hadi mahali wanajitolea wenyewe ili kuliingiza buzi zizini?

hivi wewe sasa mwanaume kama matola utamuweza kweli cheque mwezi haijaiva hazina na kuna kazi nyingine inahitaji pesa ya kusupply terms of payments 30 days after delivery. nikiweka kigari changu bond ili nikamilishe tender mbalimbali si ndio utahama kabisa?
 
huyo ndo mwanaume wa kwel shukuru mungu coz hata mtapo zinguana kila m2 ana disappear na chake,we huon bonge la dili hilo?
 
Inaelekea una maruhani ya Pesa sasa chakufanya funga ndoa na ATM
 
Mhhhh mimi kwangu naona pana shida mwanamke kuwa cared ndo mpango sasa wewe kila kitu mtoke sawa hapo nani baba nani mama?Means akitoa laki ya kodi nawe laki akinunua sukari wewe ununue chunvi kwangu mimi ngumu kumesa.Mamy wewe usikilize moyo wako.
 
Back
Top Bottom