Huu ni mtihani kwangu naomba ushauri

Huu ni mtihani kwangu naomba ushauri

huyo mwanaume naona alilielewa vizuri somo la haki sawa na uwajibikaji kwa wote
 
hizo ndio haki sawa tunazozililia kila siku........50/50

bado sijaliona tatizo mimi

Teheeee hebu nijuze na hii haki sawa, na tukirudi kutoka kazini yeye anashika remote na mie napitiliza jikoni au tunamenya vitunguu wote? Au tuna house girl tukirudi naoga na mie nasubiri kuhudumiwa kama hubby?
To me 50/50 haiwezekani wakati bado anataka aendelee kuwa "kichwa" na awe served kama kawaida akirudi home yeye ni kujinyoosha tu. Kuna wanawake wanawafulia mpaka waume zao pichu yeye kazi yake kutoa safi kabatini na kuvua chafu jioni halafu kwenye hela iwe 50/50? Aaah wapi...!
 
HABARI ZENU NDUGU ZANGU WA HUMU NDANI,

Ni mara ya kwanza kupost humu ndani ,wanaume ni changamoto,iko hivi:-
Kwanza namshukuru Mungu sijawahi kutendwa hata siku moja,ila sijisifu nilikwisha acha mtu nahiyo nisababu zilizo nje ya uwezo wangu,ushauri wenu niko na mwaume mwingine 1 year sasa ,anaupendo,ni mcha mungu,na anatangaza nia ya kuoa ,kabla sijaendelea weakness kubwa niliyoona huyu mwanaume mfano pango la nyumba tulipie sawa I mean pesa kiasi yake,na yangu,vitu atataka nijumuike kununua sawa,kibaya zaidi hajawahi kunicare hata shilling sijawahi kugusa,mwanaume ninauhakika hana michepuko,ananipenda,ni mcha mungu,handsome,ila tatizo ni hilo ushauri wenu jamani maana usiingie kichwakichwa kwenye ndoa

Mh, unapenda utafuniwe wewe umeze tu, ee!!Hivi wanawake wa aina hii ni lini mtaisha katika kizazi hiki?Natamani kizazi cha watoto wetu sample hii iwe imekwisha na wanawake wawe na mtizamo chanya katika masuala ya kusaidiana katika maisha! Mungu muepushe mwanangu wa kiume na aina hii ya wanawake kindi atakapokuwa mwanaume wa kuoa. Help me say AMEN!
 
HABARI ZENU NDUGU ZANGU WA HUMU NDANI,

Ni mara ya kwanza kupost humu ndani ,wanaume ni changamoto,iko hivi:-
Kwanza namshukuru Mungu sijawahi kutendwa hata siku moja,ila sijisifu nilikwisha acha mtu nahiyo nisababu zilizo nje ya uwezo wangu,ushauri wenu niko na mwaume mwingine 1 year sasa ,anaupendo,ni mcha mungu,na anatangaza nia ya kuoa ,kabla sijaendelea weakness kubwa niliyoona huyu mwanaume mfano pango la nyumba tulipie sawa I mean pesa kiasi yake,na yangu,vitu atataka nijumuike kununua sawa,kibaya zaidi hajawahi kunicare hata shilling sijawahi kugusa,mwanaume ninauhakika hana michepuko,ananipenda,ni mcha mungu,handsome,ila tatizo ni hilo ushauri wenu jamani maana usiingie kichwakichwa kwenye ndoa

huyo jamaa ana character km yng,mimi napenda pasu pasu na ndivyo nilivyomzoesha mke wng,mwanzoni yeye alikuwa anapenda mimi ndio niplay role kubwa as a man ila nikamtwist hadi akakaa kwenye mstari though alinisumbua sana mara ya kwanza,hivyo tulia hapo ulipo mwanamke masuala ya kubebwa na mbeleko ilikuwa ni zamani sana,sasa hivi mwendo ni cost sharing hutaki kajinyonge.
 
Dada umepata bahati unaleta mchezo utazeekea kwenu lazima mchangie kama mnakipato sawa, wanawke bwana mnapenda vya bure ndo maana mnachezewa mnaachwa ndo utapata kimeo bora na huyo.
 
50 50 inataka moyo wa ndugu na kamwe hatuwezi kuifikia katika mfumo dume wa jamii za kiafrika. Mnaishia kubania kwenye matumizi wakati kazi za nyumbani zote ni za Mwanamke? Ukweli mwanamke anapaswa kuchangia km ana kipato ila mwanaume anapaswa walau aonyeshe na atimize above 50. Raha ya mahusiano hasa kwa Mwanamke ni namna mwanaume anavyoonesha juhudi kusimamia mambo ya ndani bila kujali kipato cha mkewe (hii ni kiafrika zaidi)
 
Hivi usikii raha kuwa sehemu ya mabadiliko na maendeleo?
Hebu jiulize kwanini serikali huwa ina wahamasisha wananchi nao wachangie kuleta maendeleo?
 
Inawezekana haiwezekani 5050 lakini ni wengi hata 10 hawapendi alaf utasikia tunataka haki sawa.

50 50 inataka moyo wa ndugu na kamwe hatuwezi kuifikia katika mfumo dume wa jamii za kiafrika. Mnaishia kubania kwenye matumizi wakati kazi za nyumbani zote ni za Mwanamke? Ukweli mwanamke anapaswa kuchangia km ana kipato ila mwanaume anapaswa walau aonyeshe na atimize above 50. Raha ya mahusiano hasa kwa Mwanamke ni namna mwanaume anavyoonesha juhudi kusimamia mambo ya ndani bila kujali kipato cha mkewe (hii ni kiafrika zaidi)
 
Majukum 50/50, kwenye maamuzi mwataka 100/50

Hivi mwanaume na miguvu yako yote hujiskii vibaya kumchakaza mkeo na 50/50 waaaaiii
 
HABARI ZENU NDUGU ZANGU WA HUMU NDANI,

Ni mara ya kwanza kupost humu ndani ,wanaume ni changamoto,iko hivi:-
Kwanza namshukuru Mungu sijawahi kutendwa hata siku moja,ila sijisifu nilikwisha acha mtu nahiyo nisababu zilizo nje ya uwezo wangu,ushauri wenu niko na mwaume mwingine 1 year sasa ,anaupendo,ni mcha mungu,na anatangaza nia ya kuoa ,kabla sijaendelea weakness kubwa niliyoona huyu mwanaume mfano pango la nyumba tulipie sawa I mean pesa kiasi yake,na yangu,vitu atataka nijumuike kununua sawa,kibaya zaidi hajawahi kunicare hata shilling sijawahi kugusa,mwanaume ninauhakika hana michepuko,ananipenda,ni mcha mungu,handsome,ila tatizo ni hilo ushauri wenu jamani maana usiingie kichwakichwa kwenye ndoa

Pima mazuri na mabaya aliyonayo. Halafu angalia yapi yanazidi uzito. Wako wengine hata nusu ya mazuri aliyonayo hutayapata ukiingia kwenye ndoa. Lakini ukiwaona kwa nje utadhani wako saaafi.
 
Huyo mchamungu ndo anafaa funga nae pingu za maisha
 
Hpao hakuna tatizo mbona simple tu kwani wewe majukumu yako hapo ndani ni yapi? naungana na point ya Munkari
 
Daah!!1 year alafu anakua na kaubahili kama hujawai mpa papuchi mpe utaona mabadiliko wachache mno ambao huthamini kitu ambacho hajakionja
 
Vumilia either hana hela nyingi kiasi hicho kuweza kukupa kama utakavyo,mshukuru Mungu hata kwa upendo wa dhati alokuwa nayo na its enough kabisaaa.....
 
Back
Top Bottom