Huu ni mtihani kwangu naomba ushauri

Huu ni mtihani kwangu naomba ushauri

Ndio mzabzab ni mkaka wa pekee sana coz mara ya kwanza nilihisi ana matatizo labda?bt ukweli nilijikaza kumuuliza ,alinieleza kuwa na ndio sababu wanawake wengi wanaishia kulambwa tu then wanaachwa na akasema yy ni mzima na nathibisha huwa nikikaa nae kwa muda mood yake inabadilika ananifukuza et asije akatenda zambi
 
kweli kabisa yaani wanawake wangukuwa wanabana miguu yao wala mapenzi yasingekuwa na matatizo
wao wanadhani ukipanua panua ndio mapenzi....wee hapo umepata mume nakwambia.
 
HABARI ZENU NDUGU ZANGU WA HUMU NDANI,

Ni mara ya kwanza kupost humu ndani ,wanaume ni changamoto,iko hivi:-
Kwanza namshukuru Mungu sijawahi kutendwa hata siku moja,ila sijisifu nilikwisha acha mtu nahiyo nisababu zilizo nje ya uwezo wangu,ushauri wenu niko na mwaume mwingine 1 year sasa ,anaupendo,ni mcha mungu,na anatangaza nia ya kuoa ,kabla sijaendelea weakness kubwa niliyoona huyu mwanaume mfano pango la nyumba tulipie sawa I mean pesa kiasi yake,na yangu,vitu atataka nijumuike kununua sawa,kibaya zaidi hajawahi kunicare hata shilling sijawahi kugusa,mwanaume ninauhakika hana michepuko,ananipenda,ni mcha mungu,handsome,ila tatizo ni hilo ushauri wenu jamani maana usiingie kichwakichwa kwenye ndoa

!
!
tatizo lipo kwenye tafsiri yako ya kukucare, kwani ni lazima akupe hela?
 
Ndio mzabzab ni mkaka wa pekee sana coz mara ya kwanza nilihisi ana matatizo labda?bt ukweli nilijikaza kumuuliza ,alinieleza kuwa na ndio sababu wanawake wengi wanaishia kulambwa tu then wanaachwa na akasema yy ni mzima na nathibisha huwa nikikaa nae kwa muda mood yake inabadilika ananifukuza et asije akatenda zambi

🙂:smile-big: Lol, kila mtu akue ayaone jamani! hahahaha umenipa raha mrembo wangu.
 
HABARI ZENU NDUGU ZANGU WA HUMU NDANI,

Ni mara ya kwanza kupost humu ndani ,wanaume ni changamoto,iko hivi:-
Kwanza namshukuru Mungu sijawahi kutendwa hata siku moja,ila sijisifu nilikwisha acha mtu nahiyo nisababu zilizo nje ya uwezo wangu,ushauri wenu niko na mwaume mwingine 1 year sasa ,anaupendo,ni mcha mungu,na anatangaza nia ya kuoa ,kabla sijaendelea weakness kubwa niliyoona huyu mwanaume mfano pango la nyumba tulipie sawa I mean pesa kiasi yake,na yangu,vitu atataka nijumuike kununua sawa,kibaya zaidi hajawahi kunicare hata shilling sijawahi kugusa,mwanaume ninauhakika hana michepuko,ananipenda,ni mcha mungu,handsome,ila tatizo ni hilo ushauri wenu jamani maana usiingie kichwakichwa kwenye ndoa

Kiukweli ndoa ni msingi na msingi ni kama huo.Mi naamin yuko sawa..wanapooana wawili na kila mmoja ana vitega uchumi vyake ni muhimu waunganishe mapato yao na hii ni manufaa ya ndoa. Usimwache huyo utakuja lia ukimwacha
 
Maisha kusaidiana mwanakwetu, japo na yeye anatakiwa mara mojamoja aonyeshe kujali akununulie japo kitenge na wewe unam suprise kiatu!! Ndo mapenzi hayo
 
Hongera,umempata mwanamume shababi ambaye anajua maendeleo shirikishi,hakika mtafika mbali,pia hii itakufanya usiwe mguu ndani,mguu nje!
 
mtihani upo wapi apo...unaweza maisha ya kushea ndio hayo...huwezi unaweza kuseppa.....Mlipiga kampeni kwa nguvu zote mnataka haki sawa...sasa mnapewa "mnaufyata mkia"....
 
HABARI ZENU NDUGU ZANGU WA HUMU NDANI,

Ni mara ya kwanza kupost humu ndani ,wanaume ni changamoto,iko hivi:-
Kwanza namshukuru Mungu sijawahi kutendwa hata siku moja,ila sijisifu nilikwisha acha mtu nahiyo nisababu zilizo nje ya uwezo wangu,ushauri wenu niko na mwaume mwingine 1 year sasa ,anaupendo,ni mcha mungu,na anatangaza nia ya kuoa ,kabla sijaendelea weakness kubwa niliyoona huyu mwanaume mfano pango la nyumba tulipie sawa I mean pesa kiasi yake,na yangu,vitu atataka nijumuike kununua sawa,kibaya zaidi hajawahi kunicare hata shilling sijawahi kugusa,mwanaume ninauhakika hana michepuko,ananipenda,ni mcha mungu,handsome,ila tatizo ni hilo ushauri wenu jamani maana usiingie kichwakichwa kwenye ndoa

yani we umepata bahati unaichezea, subiri utakuja kulia siku akichukuliwa

sasa km wewe unafanya kazi pesa yako unapeleka wapi, yani tena my dear mume wa hivo ni mzuri sana kwny maendeleo mtafika mbali sana I tell u
 
bebi,, u rock ma world... na mwanaume akijua una attitude hiyo mbona hata atm password anakuachia,,, ila attitude ya kibuzbuz inaonyesha malengo ya mwanamke

hahaaaaaaaaaa I rock your world lol.........., nice to hear that

uko salama
 
Kweli mijanamke mingine ya ajab imekalia kuhongwa tu hata aibu hauoni

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Nyie ndo wale mkiachana na waume zenu mnarudikwenu weupeee,matokeo yake mnakimbilia kulalama kwakutaka mkagawane vitu wakati hata ww ulikuwa na uwezo wa kununua
hahaha hapo ndo inakuwa ndoano kama mwanaume ni kichwa basi afanye majukumu yake looo hata kama ni kusaidiana hii imezidi heshima yako ni nini?kugegenda au?mwanaume weka heshima na si kuweka mimba,tena wanaume msijidanganye mtazidiwa na wanaume
 
Back
Top Bottom