Huu ndio uzalendo wa kweli?

Hivi hiyo wizara ina nini aliyetoka alikuwa anavaa skafu huyu kaja anashonea mifukoni,mbona mwenye nchi katulia hana mbwembwe ndomana kumbe jamaa huwa anawaangaliaaa halafu anasema hiiii
 
Acha kuniita dogo naweza kuwa baba yako mtoto wangu wa mwisho 1988 sasa punguza jaziba
Uliambiwa ukubwa au udogo unategemea umezaliwa lini??

Unategemeana na vitu viwili, namna ulivyo kichwani na namna ulivyo mfukoni.

Ukiwa huna hela utaitwa dogo, hata kwenye vikao vya ukoo utapewa siti ya nyuma nyuma na utaishia kuchangia hoja za mengineyo.

Ukiwa haujakaa vizuri kichwani utaitwa dogo pia.

Sisi watu wa Musoma tuna msemo unasema "eghetoghosi ne eghetoghosi murah" maana yake "uyoga ni uyoga" tu.
 
Back
Top Bottom