Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,557
Hao waumini ndiyo washenzi kabisa
Hao waumini ndiyo washenzi kabisa
Always Christians are bunch of fools !Hao waumini ndiyo washenzi kabisa
Da ukishikwa akiri tabu sana, lowasa alikuwa anaumwa kabla hata ya uchaguzi, magufuri kushinda hilo lilikuwa linajulikana ccm hawawezi kuachia madaraka, ona ZanzibarKMimi nakumbuka 2015 kuwa Magufuli atashinda na ikawa,kuhusu Lowasa hakutaja jina ila alisema kuwa kuna kiongozi mkubwa wa upinzani atapatwa na maradhi.Gwajima aache miemko!
na bado watu wanajazana kanisani kwake hadi hapatoshi
indeed bunch of foolsna bado watu wanajazana kanisani kwake hadi hapatoshi
Mungu hawasaidii watu wajinga. Uliwahi kuwaona hawa manabii kule marekani na ulaya wakidanganya watu?Mungu anawaona hawa wachungaji.....Bushiri and wife wanavaa nguo za designers baab kubwa....Kiatu cha mke wake ni baab kubwa.Sadaka za waumini zinafanya kazi kubwa sana.........Mungu saidia watu wako.
You toochristians are bunch of fools !
Hivi yule aliyetabiri waandishi wa habari mwezi wa tatu watakufa bado tu wazima au walikufa???? Je kama hawajafa ,kaanza kuuza gongo au bado????Ukimuona Pastor/Nabii anatabiri kifo kwa mtu yeyote ujuwe huyo tapeli, Hakuna ajuwae kifo chake itakuwaje utabiri kifo cha mwenzake?.😡
Nilisikiliza Madai ya Askofu Gwajima Dhidi ya Tapeli mmoja aitwaye Prophet Bushiri. Jinsi ambavyo anatumiwa Kutabiri ati Lowassa atakufa.
Wasichojua watu wengi Ni kuwa Wengi wa wanaoitwa Watumishi wa Mungu, Kiasi kikubwa ni Mbwa mwitu Matapeli wa Kutisha.
Nitaweka Mambo Kadhaa ya Kitapeli anayofanya Bushiri. Mojawapo ni Kujifanya alitabiri kuhusu Tetemeko, hawa wanachofanya ni Kungojea Tukio kubwa linatokea, halafu wanatengeneza Video inayoweka sauti yake juu ya Video nyingine ya zamani kabla ya Tukio na Wanasuparimpose maneno mapya (lipsing) juu ya hiyo video ya zamani ili isikike kana kwamba alikuwa akitabiri Tukio hilo, ilihali katika video ya awali, alikuwa akiongelea mengine kabisa!
Mengine ni Kutengeneza Mazingaumbwe ya Michezo ya Kitoto mfano kama huu. Bushiri akijifanya anashusha moto toka mbinguni Kuchoma hirizi. Ukweli ni kuwa ameweka kemikali yenye kutoa moto na akaongezea kiberiti juu yake ili kikipata joto la kemikali kilipoke moto!
Angalia kwa makini.
Na hii Video nyingine anachukua Video ya Zamani ambayo watu walikuwa wakiomba, anaiedit na kusema wanaona Malaika halafu ukisikiliza jibu analopewa ni la mtu wa studio maana halaiki ya watu wale haikuwa naye wakati akiongeza hiyo sauti mpya na ukungu wa malaika.
Sasa Ukiona Mtu anaweza Kudanganya Maelfu ya Watu Kiasi hiki, Hata kuua mtu hatasita! Nimemsikia Katika Video Fulani akisema alimwombea Mchungaji mmoja afe, na akafa sasa, ni wazi Tapeli wa Aina hii anaweza hata kumtumia mtu Majambazi ili wamuue kisha ajidai Utabiri wake umetimia.
Gwajima asidanganyike Bushiri haombei afe, Bali Bushiri anaweza hata Kumtumia Majambazi! Gwajima.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu bado unamfuata mchungaji hypocrite kama huyuHivi yule aliyetabiri waandishi wa habari mwezi wa tatu watakufa bado tu wazima au walikufa???? Je kama hawajafa ,kaanza kuuza gongo au bado????
Kunawapenda tigo kama waarabu mkuu???? Eti binti anatunza bikira kwa mumewe ,we pakua mavi tu ila mbele ni kwa mumewe ,tehe tehe teheeeHuu ukiristo ni laana tupu!!!! Viongozi wao matapeli hasa huku Africa ni utapeli mtupu. Tazama akina gwajima na matapeli wengi na ukianzisha kanisa tu umeshakuwa milionea. Wale wa uzunguni nao wana bariki ushoga yaani ni laana tupi
Sehemu gani kwenye maandiko wamesema Adam na Hawa walikuwa weupe?..Cannibal lakini ukianzisha mjadala kufikiri, kutafakari juu ya uwepo wa Mumgu unashambuliwa kuwa Mungu hataniwi. Mfano unajiuliza kama Adam na hawa walikuwa eden, weupe wakazaa uzao wao, sasa sisi weusi tulipatikanaje? Mbona tumekuwa localised sehemu moja? How didi we become localised in South of Sahara? , Kwa nini Mungu alitengeneza glycolysis, was he aware that he is creating glycolysis, respiration, digestion , DNA, RNA. Aliviumba kwa makusudi katika hicho kinachoitwa uumbaji wake? etc etc.
TUSIFIKIRI NA NDIO MATAPELI BUSHIRI WANAJIPATIA MLO WAO
tafuta size yako, ulivyoanza nakuonaSehemu gani kwenye maandiko wamesema Adam na Hawa walikuwa weupe?..
Muachege ujinga jamani!
am not christian ! ....you fool !You too