Huu ndio unabii wangu Kuhusu Nabii Daniel Daniel Shillah

Baba wa Imani Yesu Kristo

Biblia inatamka wazi kuwa imani huja kwa kusikia neno LA Kristo sio la Ibrahim
Inaonekana hujui hata kwanini nabii Ibrahim anaitwa baba wa Imani. Kazi aliyo ifanya ni kubwa sana, na aliitwa "Umma" hali yakuwa ni mmoja.

Yesu alijiita kwa jina hilo au unamuita wewe ? Ila Wakristo watu wa kuzua zua sana mambo.
 
Kama Kweli una Imani nenda kamkemee Lutu Kwa Kuzaa na binti zake.
Yesu hakuja kubatilisha agano la kale.

Umekosa hoja ndio maana unakuja Na matusi.

Ujumbe umekuingia bila Shaka ndio maana ume panic

Nafsi yako haitaki kuukubali ukweli

Utaijua Kweli nayo Kweli itakuweka huru
Narudia kusema rudi ukatubu ewe Nabii feki unayepotosha kondoo wa Bwana! Wewe si mkristu maana ungelijua maana ya Sadaka ya Kristu Paska aliyeitoa pale msalabani usingefanya hayo maovu yako!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Ndio alipenda. Alikuwa anajua anacho kifanya. Mwanaume anae fanya mapenzi anakuwa anajua anacho kifanya Kwa Sababu the most active and sensitive sexual organ of a man is his mind. If the mind is not active no man on planet Earth can ever ever do sex... Labda alawitiwe.


# wewe unaweza kunywa pombe ikakufanya ulale Na mamako mzazi? Ukipata jibu la swali hili ndio utakuwa kwamba Lutu alikuwa anajua anacho kifanya
HUYO LUTH ALIZAA NA BINTI ZAKE KWA KUPENDA?? AU WALIMPA POMBE WAKAMBAKA BABA YAO???
 
Ni Uzi mwingine mkuu Wala hauhusiani Na Uzi Huo WA Sarai Na Ibrahimu
Umeuvusha na kuurefusha uzi wa Ibrahim na Sarai kwa kuanzisha thread mpya.....

Janja mingi mingi
 
Bongo kuna manabii? loh hawa wapiga miuno na wake za watu na wapaka mafuta ya alizeti? loh mmepigwa sana shtukeni kima nyie hakuna nabii wala mtume ni wajasiriamali tu , mtakuja kunishukuru baadaye
Wana tofauti Gani Na manabii WA kwenye bible ambao walikuwa wanazaa Na dada zao Na binti zao?
 
Back
Top Bottom