agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
Hahaaa nakaribia kufika ghetto kwa RRONDOMbona kimya? Mmehamia PM?![emoji848][emoji848][emoji848]
Hahaaa nakaribia kufika ghetto kwa RRONDOMbona kimya? Mmehamia PM?![emoji848][emoji848][emoji848]
Huo unaliwa leo,kesho,keshokutwa,mtondogoo hadi uishe
Hahaaa nakaribia kufika ghetto kwa RRONDO
Endelea kushangaa[emoji15][emoji15][emoji15]
Kwa mwezi wanakuja wangapi?Bachelor gan unamilik majiko ma4[emoji23] bachelor jiko1 tu. Kwanza me sipikag wanakujaga warembo kupika
Kwa mwezi wanakuja wangapi?
Yani na Mimi nije kuunga foleni?Aisee, karib na ww upike unifundishe
Duh muda huo sina
ClassicHii ngoma imepigwa jana na chai, sasa hivi inapigwa na chai, baadae inapigwa hivyo hivyo mpk usiku.. Sisi wasukuma hatunaga time na vikorombwezo
View attachment 1213256
@idriss naomba mwaliko; njaa imeniuma ghaflaGhetto live!View attachment 1213213