Huu ndio msosi wa bachela

Huu ndio msosi wa bachela

Sasa nikikukatia tamaa nani atakuhangaikia? Mama alinikabidhi hivyo ni jukumu langu.

Ila uache kuruka ruka sasa, unafanya hii kazi inakuwa ngumu[emoji134][emoji134][emoji134]
Siruki ruki bhana. Ni kwenye harakati za kutafuta makazi ya kudumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
IMG_20180621_192338_175.JPG
 
Batchelor huyu hataoa kama anaweza kumsafisha sufuria zikawa safi hivi na kilo ni spot less.

Hawa ndiyo wale ukiwapikia wali anakuambia umeinama ameshazoea kupika wali mwenyewe.

Usafi ulinipa tabu sana nilipoamua kuanza kuishi na familia, nilikuwa ninaonekana nna gubu sana kuanzia dada wa kazi, mke, hadi mtoto, mimi nikikuta ukuta umechafuka ndani ni ishu aisee
 
Usafi ulinipa tabu sana nilipoamua kuanza kuishi na familia, nilikuwa ninaonekana nna gubu sana kuanzia dada wa kazi, mke, hadi mtoto, mimi nikikuta ukuta umechafuka ndani ni ishu aisee
Kuishi na watu inahitaji uvumilivu sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitapiga besi moja ya hatari na sura ya kazi hutoamini.
Labda kama utakaza sauti. Lakini kama sauti ni hiyo hiyo ya kitoto ni mwendo wa chopa tuu.
 
Yangu iko poa nishapiga ubwabwa, hapa naangalia mpira huku naperuzi jf. Kimekosekana kimoja tu😎😎
Kwa ubwabwa huo rafiki yake ni juice.ukipiga vyombo vingine lazima utapike😅😅😅😉😉😉

Nini kimekosekana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom