Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,960
- 183,578
Baba bulubendi nilikumiss tu.
Jamani nmekosea nn
Jamani nmekosea nn
Mshenzi yule alinidanganya hata sitaki kumsikia.Haumtaki tena? Baada ya kukuharibia usichana wako unamuacha aende kizembe?
Aisee kuna wanaume wanapika mama acha kabisaaa!! Niliwahi kula pilau mahali tamu balaaa.Yani kuna wanaume wana wito jikoni; ujikute sasa mke unaotea mapishi
Tukioa tunasahau kupika
Uwiiiii au nyumbani unaigiza kama sister wa parokia ya Moyo safi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie mpole sana.
Siku moja mama ananiuliza "hivi mwanangu na upole huu hata mtoto unaweza kumgombeza achilia mbali kumchapa!!" Haki nilicheka sana.
Hahahaha itabidi anitangulize mbele mimi ndugu ndio wafuate. [emoji23][emoji23][emoji23]Daah ndio tulizaliwa mapacha sasa sijui utafanyaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]😀😀😀😀😀 jamaa anaweka bulubendi hadi kwenye chai au?
Mbona ugali mdogo huo..Huu ugali mko watatu au unakula na kesho na keshokutwa?
Hahahahahhahaha hata sielewi maana mama ndio kama hivi nachati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We nunua visosa tu.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] nimelimiss tembele. Sasa P anakula saa ngapi[emoji134][emoji134]
Kwa hiyo umepika ya kula wiki nzima kama pacha wako.?Daah labda nimgawie jirani
[emoji23][emoji23][emoji23]Uwiiiii au nyumbani unaigiza kama sister wa parokia ya Moyo safi.