Hahahahahahahah 7800 ni kwa wafupi.Ukionesha dalili za kukabidhiwa mikoba utaambulia 7,800/-
Kwa mimi mrefu hela inaongezeka.
Hahahahahahahah 7800 ni kwa wafupi.Ukionesha dalili za kukabidhiwa mikoba utaambulia 7,800/-
Hahahahahhahaha hata sielewi maana mama ndio kama hivi nachati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahhahaha usijali wewe ongea nae vizuri nipate hiyo mikoba. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jitahidi, nami nina list ya kuwaloga, nitaomba uanze na Khantwe.
Hahahahhahaha usijali wewe ongea nae vizuri nipate hiyo mikoba. [emoji23]
Hahahhahahahahah.
Sio kama yule injinia wa M3?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mume inabidi awe mpole kuliko Yesu.
Hahahahahhaa hata mimi nashangaa.Hivi kwanini sisi unatuwekaga kwenye makundi mabaya mabaya tu[emoji134][emoji134][emoji134]
Kumbe ulikuwa haujui? Nashangaa unanenepa tuu kizembe na dawa ipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ndio siri ya mafanikio? Nami naanza kesho.
Hauwezi[emoji23][emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitapiga besi moja ya hatari na sura ya kazi hutoamini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukamsingizia shetani bureee wakati alikuwa chato[emoji134]
Alikupagawisha na safari ya Dubai. Ukienda kushinda kwenye duka lake la vifuniko vya asali unajiona wewe ni wewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshenzi yule alinidanganya hata sitaki kumsikia.
Sio kopo la chumvi kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ana kamtindo kake akipakua chakula anaweka na kakopo ka blue band pembeni ndio anapiga picha. Sijui ndio nakshi[emoji23]