Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,081
- 127,792
Huna hiyo jeuriMwambie aniletee talaka nataka kuolewa.
Huna hiyo jeuriMwambie aniletee talaka nataka kuolewa.
Safi sanaaa..iko poa kabisa.na yakoHio ni kazi ya mikoni yangu mamaaa...weekend inasemaje?
Huu ugali na samaki sio wale wa ile siku jikoni na mwifa???Mabachela tunatambuana kwa misosi konkiView attachment 1212960View attachment 1212963
Haha sio fitna; we are your well-wishers
Mwishowe atakuja kuoa watu tunashika mikongojo; kwaito hatuiwezi tena
Yaani huyu ni mimi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndiio ndio...hata hyo hua inatokea sana,haswa nyama
Nikiwa naichemsha nyama nipike nayo mboga naigonga hvyo hvyo..mda mwingine natumbukizs huko viaz vitatu nakua nimemaliza mchezo
Akigoma nampeleka mahakamani.Huna hiyo jeuri
Nilihisi hili kwa kina sana.maana huwaga mnafail kwenye chumvi sanaHilo linawezekana kabisa😀
Tatizo inbobo unanikimbia.Mpaka kila mtu ajue? Twenzetu inbobo basi
Vyote.Hivi hii thread ni kuhusu uwezo wangu wa kupika au kuoa?!!
Hivi unakumbuka lile pishi la ndizi nyama la mpwa wako kikulachochako; nilichoka na roho yanguKuna jamaa alikuwa anapika ubwabwa mwingiii na mboga then anaweka kwa jokofu. Anatoa kidogo anapasha kwa microwave, mwendo ni huo hata wiki mbili.
Haki wanaume bachela wanakulaga kushiba.
Mnastahili 😳 😳 😳
Wtf is disMabachela tunatambuana kwa misosi konkiView attachment 1212960View attachment 1212963
Hivi unakumbuka lile pishi la ndizi nyama la mpwa wako kikulachochako; nilichoka na roho yangu