Bora zingekuwa na matundu.Zina matundu?!
Sufuria kama hot pot bhana.
Sasa mimi nimezoea nikisonga ugali mpaka nitumie "boi" sasa hapo nitaliweka wapi?
Bora zingekuwa na matundu.Zina matundu?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Honey Faith huyu huyu? Kumbe nae mtundu eeh? Mimba ya nani sasa?Nilikuwa nammendea pacha wako, wakanitoa baru na faith wake. Mahaba motomoto[emoji134][emoji134][emoji134]
Mweeeh! Hamad Honey Faith ana mimba halafu sio ya pacha wako[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilifurahi.
Hahahahhaha si unayala leo yanaisha?Sufuria ninayo moja na nimepikia maharage [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe una upole gani? Uwiiii mwanamke mtata sana wewe.
Ila khantwe anasema mwanamke jeuri mwibie Mume. [emoji23][emoji23][emoji23]
Daah ndio tulizaliwa mapacha sasa sijui utafanyajeHata kama naona wivuu
Hawezi kumrudisha[emoji23][emoji23] niamini mimi
Unanikana leo si ndio?Huyo pacha sio mimi....
Sasa ananioa ili nikamwoneshe niliyofunzwa unyagoni eeh[emoji85][emoji85][emoji85]acha nichambue zangu tembere nipike.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ameshasema hakuoi ili umpikie, sasa hofu yako nini?
Nina pacha mmoja tu mimiHuyo pacha sio mimi....
Hata yeye alikuwa hajui ni ya nani, ila haikuwa ya pacha wako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Honey Faith huyu huyu? Kumbe nae mtundu eeh? Mimba ya nani sasa?
Sizitaki mbichi hiziJipe moyo, bahati yako ni huyo lasivyo.....
Kwa hiyo mtoto si amezaliwa...anafanana na nani?Hata yeye alikuwa hajui ni ya nani, ila haikuwa ya pacha wako.
We nunua visosa tu.Sasa ananioa ili nikamwoneshe niliyofunzwa unyagoni eeh[emoji85][emoji85][emoji85]acha nichambue zangu tembere nipike.
Daah labda nimgawie jiraniHahahahhaha si unayala leo yanaisha?
Sioni dalili za kula "ubwabwa mchafu" kwa senior bachelor huyuYes, unasogea sogea kwenye wali. Hofu yangu ni ukifikia hapo hatutokula "ubwabwa" [emoji134][emoji134][emoji134]
Sizitaki mbichi hizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Basi turudi kwa kalumanzila, anakufaa sana.
Kwa hiyo mtoto si amezaliwa...anafanana na nani?